Chelsea: Moses Kuuzwa Wakati Luiz Akipewa Nafasi

Wakati wa usajili wa dirisha doog la mwezi wa kwanza Chelsea watampiga bei mchezaji wao Victor Moses wakati klabu mbili za Crystal Palace na Fulham zikiwa zinataka kutoa ofa zao kwa mchezaji huyo mwenye thamani ya paundi milioni 12.

Kwa sasa Victor ana umri wa miaka 27 na alikuwa ni mchezaji wa zamani wa kimataifa wa taifa la Nigeria. Wakati hilo likisubiriwa, pia Chelsea watamuongezea mkataba wa muda wa miaka 12 mlinzi anayetokea Brazil, David Luiz ambapo itakuwa ni mara baada ya msimu huu na kumuwezesha kutafuta mahali pengine atakapoweza kujiunga.

Chelsea: Moses Kuuzwa Wakati Luiz Akipewa Nafasi
David Luiz

2 Komentara

    asante kwa habari

    Jibu

    Ni safi

    Jibu

Acha ujumbe