Chelsea Watoa Ruhusa

Klabu ya Chelsea imetoa ruhusa kwa klabu ya Derby ya kuchezesha wachezaji wote walio kwenye mkopo ambao ni pamoja na Mason Mount na Fikayo Tomori dhidi yao wakati wa mzunguko wa nne ya kombe la Carabao. Gemu hiyo itapigwa ifikapo 31 Oktoba ambapo Football London wameripoti kuhusiana na ruhusa hiyo.

Msako wa Romagnoli

Calciomercato wameripoti kwamba klabu hiyo ya soka ya Chelsea ilituma mawakala wikiendi hii Jumapili wakati wa gemu kati ya Milan na Inter ili wakamtazame Alessio Romagnoli ambaye ni mlinzi na nahodha mwenye umri wa miaka 23 wa AC Milan ya Italia. Unadhani wataweza kumnasa?

3 Komentara

    Wametisha sana

    Jibu

    Safi sanaa

    Jibu

    Safi

    Jibu

Acha ujumbe