Friday, September 23, 2022
Nyumbani Football COPA America 2016

COPA America 2016

Neymar

Neymar Hauzwi hata kwa Bilioni 1 – Nasser

3
Wakala wa zamani wa Neymar anayejulikana kwa jina la Wagner Ribeiro ameweka wazi kuwa Neymar alitakiwa na Real Madrid 2019 na walikuwa tayari kumsajili kwa Euro Milioni 300 (Tsh Bilioni 828) akitokea PSG ya Ufaransa. Wagner anasema Rais wa PSG...

Peter Shilton: Maradona Hakutuomba Msamaha kwa Bao la Mkono

15
Kipa wa zamani wa timu ya Taifa ya England Peter Shilton ambaye alikuwa langoni kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia kati ya England dhidi ya timu ya Taifa ya Argentina amesema kuwa Diego Maradona...

Breaking News: Diego Maradona Aaga Dunia.

20
Habari kutoka vyombo mbalimbali vya michezo nchini Argentina vimethibitisha Legendi wa Soka Diego Armado Maradona amefariki dunia akiwa na miaka 60. Mshindi huyo wa kombe la dunia mwaka 1986 alipata tatizo la shambulio la Moyo (Cardiac Arrest) alipokuwa nyumbani kwa...

Cafu, Kutoka Sao Paulo hadi Palmeiras

23
Jina lake halisi ni Marcos Evangelista de Morais. Cafu ni kifupisho cha Cafuringa, jina la nyota wa zamani wa Brazil ambaye alifananishwa naye. Utotoni alikataliwa na vilabu vya Corinthians, Palmeiras, Santos, Atl├ętico Mineiro na Portuguesa kujiunga kwenye akademi zao. Akakubaliwa...

Messi Kuikosa El Classico?

31
Kocha mkuu wa Barcelona, Ronaldo Koeman huenda anaweza kuikosa huduma ya nyota wake Lionel Messi raia wa Argentina kwenye mechi tatu za La Liga ikiwa nyota atakwenda kwenye majukumu ya Taifa mwezi ujao. Miongoni mwa mchezo ambao unampasua kichwa Kocha...

Historia ya Soka Duniani

44
UNAKUBALI KUWA ASILI YA SOKA NI CHINA?   Mchoro wa mchezo wa kandanda katika makumbusho ya Linzi Kufika sasa ni dhahiri kuwa China ilikuwa na vilabu vya soka, sheria, na hata mashabiki zaidi ya miaka 1,000 zilizopita. Lakini soka hiyo ya upigaji shuti,...
FIFA Yaifungia Kenya na Zimbabwe.

FIFA Yaja na Sheria Mpya

30
FIFA inawasaidia wachezaji wa soka wenye uraia wa nchi zaidi ya moja kubadili kuwakilisha timu ya taifa hata kama walishaichezea nchi nyingine lakini Kuna sheria za kufuatwa - Haya ni mabadiliko ya kanuni yaliyotangazwa Jumatano. Haya matumaini kwa wachezaji wanaostahili...

Kobe Bryant na Ukitaka Dunia Isikusahau, Fanya Makubwa, Halafu Ufe Mapema (PART ONE)

41
Kalamu yangu hii inapewa nguvu na Emiliy Dickinson. Mshairi mahiri sana nchini Marekani. Emily alisema, "ukitaka dunia isikusahau, fanya makubwa, halafu ufe mapema." Sijui alifikiria nini kusema vile, lakini maneno yake yanaweza kuwa na uhalisia. Ndiyo, yanaweza kuwa na uhalisia....

Tetesi za Usajiri Barani Ulaya leo Juma 5 tarehe 27 May

51
Arsenal inatarajiwa kuanza mazungumzo na wakala wa kiungo wa kati wa Barcelona Phillipe Coutinho. Mchezaji huyo wa Brazil mwenye umri wa miaka 27 amehudumia msimu wote akiwa kwa mkopo katika mabingwa hao wa Ujerumani Bayern Munich, lakini klabu hiyo haiko...

VAR- Haki Inavyopoteza Radha ya Soka

2
VAR ni kifupi cha neno la kingereza lenye maana ya Usaidizi wa Muamuzi kwa Njia ya Televisheni, Hii imekua kawaida sana kwa kipindi cha karibuni kwa waamuzi wa michezo ya kimataifa kutegemea maamuzi ya VAR kutokana na Mwamuzi wa...

MOST COMMENTED

Jeuri ya Mourinho Baada ya Ushindi

1
Mourinho alitoka akitabasamu baada ya kupata ushindi wa bao 2-0 dhidi ya mwenyeji wake Burnley kwenye dimba la Turf Moor. Macho ya wadau wengi...
Guardiola: Neymar Aliondoka na Mataji Barcelona.

Tetesi Mbalimbali za Soka

HOT NEWS