Makala nyingine

Kiungo wa Barcelona Pedri ametajwa kuwa mshindi wa tuzo ya Golden Boy mwaka 2021 na kumbwaga Jude Bellingham wa Borussia Dortmund, Pedri mwenye umri wa miaka 18 anakuwa mchezaji wa …

Siku kadhaa baada ya Xavi Hernandez kutambulishwa rasmi kama kocha mkuu wa timu ya Barcelona, klabu imethibitisha na kutangaza benchi lake la wasidizi. Xavi amerudi baada ya kuachana na klabu …

Sergi Barjuan ametangazwa kuwa kocha muda wa timu ya Barcelona baada ya kocha mkuu Koeman kufunagashiwa vilago mpaka pale atakapotikana kocha anaweza kuchukua mikoba rasmi iliyoachwa na Koeaman. Taarifa iliyotoka …

Hispania, klabu ya Getafe imemfuta kazi kocha wake mkuu Michael baada ya matokeo mabovu waliyoyapata. Getafe waliweza kujipatia pointi moja kwa mara ya kwanza  kwenye msimu wa 2021/22  jumapili iliyopita …

Thibaut Courtois amekubali kusaini kandarasi mpya ya miaka mitano na Real Madrid. Madrid wameruhusu mabeki wenye uzoefu Sergio Ramos na Raphael Varane kuondoka klabuni, kwani wanatafuta kupunguza tatizo la kifedha …

1 2 3 4
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.