Usajili mpya Memphis Depay amewasili rasmi huko Barcelona kabla ya mazoezi yake ya kwanza Jumanne asubuhi na mchezaji huyo wa kimataifa wa Uholanzi amethibitisha kuwa anafurahi sana kwa safari mpya. …
Makala nyingine
Lionel Messi hatimaye ameweza kushinda kombe na timu ya taifa ya Argentina, na kuisaidia nchi yake kumaliza ukame wa miaka 28 wa kutoshinda taji kubwa kwa kutwaa Copa America siku …
Lionel Messi amekuwa na mwaka mzuri 2021 kwa timu zote klabu ya Bracelona na timu ya taifa ya Argentina akiwa amezitisa nyavu mara 33 na kusaidia mabao mengine 13 kwenye …
Kuondoka kwa Sergio Ramos kutakuwa hasara kubwa kwa Real Madrid, hii ni kwa mujibu wa Eder Militao. Beki huyo aliyehudumu kwa muda mrefu alitoa hotuba ya kuaga kwa hisia wiki …
Mkataba wa sasa wa Ansu Fati na Barcelona unaendelea hadi 2022, lakini klabu haina haraka ya kuongeza mkataba wake kwani wameweka kipaumbele katika kuweka saini usajili mpya katika wiki chache …
Barcelona wamempa ofa ya mkataba mpya Lionel Messi, na mkataba wake wa sasa Camp Nou unamalizika Juni 30. Klabu hiyo ya Kikatalani imeamua kutosubiri matokeo ya ukaguzi ambao Joan Laporta …
Joan Laporta Rais mpya wa Barcelona ameiambia Festa de L’Esport Catala gala kwamba “mzunguko umeisha tunaingia kwenye mchakato wa mabadiliko” Laporta alichaguliwa kama rais wa klabu kwa mara ya pili …
Siku, Masaa, Dakika na Sekunde hufanya kubadilika Kwa majira na namba za Miaka. Mwaka 2015 miaka 6 iliyopitia ilikuwa ni mara ya mwisho kuiona jezi nambari 10 ya timu ya …
Kuelekea mchezo wa pili wa nusu fainali ya Ligi ya Europa, klabu ya AS Roma imatangaza kikosi cha wachezaji 20 watakaochuana na Manchester United leo usiku. Roma wanaingia kwenye mchezo …
Bahada ya Barcelona kufanikiwa kutwaa taji la Copa del Rey, Rais wa klabu hiyo, Joan Laporta amesema kuwa anajaribu kumsawishi Lionel Messi asalie kikosini hapo. Mkataba wa Messi ndani ya …
Raisi mpya wa Barcelona Joan Laporta “anashawishika” kusema Lionel Messi atasaini mkataba wa kuendelea kukaa na miamba hao LaLiga. Messi yupo nje ya mkataba mwisho wa msimu huu na mchezaji …
Wakala wa zamani wa Neymar anayejulikana kwa jina la Wagner Ribeiro ameweka wazi kuwa Neymar alitakiwa na Real Madrid 2019 na walikuwa tayari kumsajili kwa Euro Milioni 300 (Tsh Bilioni …
Sergio Ramos amekiri kwamba Lionel Messi amefanya Real Madrid wapate tabu kwa miaka mingi akiwa na Nahodha huyo wa The Blancos ametoa ya maoyoni kwamba Madrid ingeshinda mataji mengi kama …
Nchini Hispania kutachezwa fainali mbili za kombe 1 ndani ya wiki 2. Athletic Bilbao kuhusika kwenye fainali zote mbili. Hali hii ni matokeo ya kughairishwa kwa fainali ya Copa del …
Lionel Messi ameweka rekodi mpya klabuni Barcelona, baada ya kucheza mara yake ya 768 kwa miamba hiyo ya Uhispania. Messi alifanana na mchezaji mwenzake wa zamani na gwiji mwenzake wa …
Neymar Jr ataungana tena na Lionel Messi huko Camp Nou hii ni kwa mujibu wa wakala wa zamani wa Kibrazil na skauti wa zamani wa Barcelona Andre Cury. Cury alitumia …
Athletic Bilbao watashiriki fainali mbili za Copa del Rey ndani ya wiki mbili baada ya kuiondoa Levante siku ya Alhamisi. Athletic ilifunga Levante 2-1 katika muda wa nyongeza nawanaenda kukutana …
Barcelona imepindua mabao ya 2-0 waliyofungwa katika mchezo wa kwanza dhidi ya Sevilla katika mashindano ya Copa del Rey na kushinda mabao 3-0 mchezo wa marudiano katika kukamilisha nusu fainali. …
Kikosi cha Barcelona kitapewa nguvu na Gerard Pique kuelekea mchezo wao dhidi ya Paris Saint-Germain kwenye michuano ya Champions League baada ya beki huyo kurejea kutoka kwenye majeraha. Pique alikuwa …
Barcelona imeangukia kukutana Sevilla katika droo ya nusu fainali ya Copa del Rey ikiwa Ronald Koeman yupo kwenye kutafuta taji lake la kwanza tangu achukue jukumu la kuionoa timu hiyo …