Friday, September 23, 2022
Nyumbani Football Copa libertadores

Copa libertadores

Carlos Tevez

Carlos Tevez Kocha Mpya wa Rosario Central

0
Mshambuliaji wa zamani wa klabu za Manchester United na Manchester City Carlos Tevez amepewa mikoba ya kuinoa klabu ya nchini Argentine Rosario Central ambayo inashiriki ligi kuu nchini humo. Carlos Tevez mchezaji aliyeweka rekodi ya kuwa mchezaji anayelipwa zaidi duniani,...

Ronaldo Kuinunua Klabu ya Cruzeiro kwa R$400 million

0
Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya brazil Ronaldo siku ya Jumamosi alikuwa kwenye mazungumzo na klabu ya Cruzeiro klabu yake ya kwanza kucheza mpira wa kulipwa kuhitaji kuinunua. Ronaldo ambaye alianza kucheza kwenye timu ya kikosi cha kwanza...
Palmeiras

Palmeiras Yatinga Fainali ya Copa Libertadores

0
Mshindi wa Copa Libertadores, Palmeiras imetinga fainali baada ya kutoka sare ya 1-1 na timu ya kutoka Brazili Atletico Mineiro kwenye hatua ya nusu fainali, huku faida ya goli la ugenini likiwavusha. Palmeiras wamepita baada ya mechi ya pili kutoka...

MOST COMMENTED

Barcelona Kuwaomba Wachezaji Wake 3 Kupunguza Mishahara

0
Klabu ya Barcelona imepanga kuwaomba wachezaji wa kikosi cha kwanza Jordi Alba, Gerard Pique na Sergio Busquets kupunguza mishahara ili kuweza kuokoa kiasi cha...

HOT NEWS