Emerick Aubameyang Asing'Ang'anie Kuondoka Arsenal-Ian Wright

Pierre Emerick Aubameyang, mshambuliaji wa Arsenal amepewa onyo la kufikiria kutaka kuondoka ndani ya Klabu hiyo inayompa nafasi kwani akifanya hivyo atapotea kwenye ramani ya soka.


Imekuwa ikielezwa kuwa Aubameyang ana mpango wa kusepa ndani ya Arsenal huku AC Milan, Real Madrid na Barcelona zikitajwa kuwania saini yake. Ian Edward Wright, mshambuliaji wa zamani wa Arsenal ambaye alicheza msimu wa 1991-98 akicheza jumla ya mechi 221 na kutupia mabao 128 amesema kuwa akiendelea kuwasumbua Arsenal atapotea.

Nyota huyo amesema kuwa anatambua malengo ya Aubameyang ni kucheza michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ila ili kufikia hayo ni lazima awe na subira kwani nafasi yake ya kufanikiwa ndani ya Arsenal ni kubwa.

“Mkataba ambao anapewa na Arsenal ni mkubwa na anapaswa auheshimu akisema alete jeuri anaweza kushangaa anaanza kuchezea benchi labda Kocha Mkuu, Mikel Arteta anaweza kumpa nafasi (Gabriel) Martinelli, yeye atafunga lini?”

41 Komentara

    Pale makombe hayapayikani kwa Sasa ,Sasa abaki anasubiri wakati hakuna faida clabuni

    Jibu

    Bora abaki tu ilikutimiza malengo yake

    Jibu

    Nibira awepo iliatimize malengo yake

    Jibu

    Hii nafasi siyo ya kuichezea kijana bora abaki tu

    Jibu

    Bora abaki tu.

    Jibu

    Aondoke tu

    Jibu

    n kwl afanye maamuz sahh

    Jibu

    Bora abaki tu

    Jibu

    Huko aendako sasa akatulie tuuu

    Jibu

    Wasimng’ang’anie bwana wamuache aondoke.akitaka

    Jibu

    Heee!Kumbe ukilazimisha kuondoka unapotea#Meridianbettz

    Jibu

    maisha popote asiogope vitisho aondoke akapambane mbele

    Jibu

    Abaki tuu #meridianbettz

    Jibu

    Akae atulie apige mpira asituchanganyie habari

    Jibu

    Aondoke tu

    Jibu

    Hawezi kuondoka arsenal kwanya mkataba wake unamfunga na anamkataba wa mda mrefuu

    Jibu

    Wachezaji wengine uwa ni tamaa,na mara nyongi hizo tamaa uwa zinawapoza

    Jibu

    Golden chance aitumie vizuri

    Jibu

    Muda wake umefika kwenda kujaribu bahati yake kwenye club nyingine

    Jibu

    Naheshimu maoni ya Ian Wright lakini pia ikiwa mchezaji anaamini mafanikio yake yatapatika kwa kucheza Ligi ya Mabingwa wacha aende ‘ mwanakulitafuta ,mwanakulipata’#meridianbettz

    Jibu

    Uamuz ni wake

    Jibu

    Nenda bro.ukatafute changamoto nyingine..naona huyo anaenda man utd

    Jibu

    Bora abaki ili aweze kuonyesha uwezo zaid

    Jibu

    Wamuache aamue mwenyewe

    Jibu

    Baki tu hapo.

    Jibu

    Ni kweli mfano kamili tushaona wachezaji wengi wanapo force kuondoka kwenye club huko wanakoelekea wengi wao hawafanyi vizuri

    Jibu

    Haondoke pale hakuna mpya thnks meridian bet kwa information

    Jibu

    Afuate maamizi yake hakuna mtu analazimishwa

    Jibu

    Huwamuzi niwake abaki au andoke

    Jibu

    mwanakulitafuta ,mwanakulipata’#meridianbettz

    Jibu

    Akwende huko

    Jibu

    Bora abaki tuu

    Jibu

    Akubali kubaki tu

    Jibu

    Ni vyema akaendelea kubakia tu

    Jibu

    Atulize mapepe abaki tu

    Jibu

    Ni vema akabaki tu hapo hapo tu

    Jibu

    Abaki tu asilete mgogoro na arsenal

    Jibu

    Abaki tuu hapo hapo

    Jibu

    Aende akatafute chanel nyingine

    Jibu

    Maamuzi yake binafsi mwenyewe kubaki hama kuondoka

    Jibu

    Achague moja

    Jibu

Acha ujumbe