Makala nyingine

Klabu ya Arsenal inahusishwa na mlinzi wa eneo la kati anayekipiga katika klabu ya Sporting Lisbon ya nchini Ureno raia wa kimataifa wa Ivory Coas Ousmane Diamonde. Arsenal inahusishwa na …

Beki wa klabu ya Man City anayekipiga klabu kwa mkopo klabu ya Barcelona Joao Cancelo ameitolea uvivu klabu yake ya City kutokana na tuhuma ambazo amekua akitupiwa. Cancelo ambaye anakipiga …

Luis Diaz Haendi PSG

Winga wa klabu ya Liverpool na timu ya Taifa ya Colombia Luis Diaz inaelezwa hana mpango wowote wa kujiunga na mabingwa wa ligi kuu nchini Ufaransa klabu ya soka ya …

Beki wa klabu ya Arsenal raia wa kimataifa wa Japan Takehiro Tomiyasu amefanikiwa kuongeza mkataba wa kuendelea kuwatumikia washika mitutu hao kutoka jiji la London. Beki Tomiyasu ameongeza mkataba ambao …

Kiungo wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Denmark Christian Eriksen amefunguka kua anachukizwa na yeye kutokupata muda wa kucheza ndani ya klabu hiyo kwasasa. Kiungo Eriksen amesema …

Kocha wa Manchester United Erik Ten Hag amekanusha taarifa za mshambuliaji wake klabuni hapo Marcus Rashford kuhusishwa na mabingwa wa ligi kuu ya Ufaransa klabu ya PSG. Kumekua na tetesi …

Klabu ya Manchester United ipo kwenye mazungumzo ya kumpa mkataba mpya kinda wake kiungo Kobbie Mainoo ambapo mpaka sasa mazungumzo yanaendelea baina ya pande zote mbili. Manchester United inaelezwa inapanga …

1 2 3 4 335 336 337