Kocha wa klabu ya Liverpool Jurgen Klopp ameweka wazi kuwa anajuta kutokumsajiri nyota wa klabu ya Ajax Dusan Tadic kwenye klabu ya yake ya Liverpool baada ya kuwa na nafasi ya kufanya hivyo.

Tadic anatarajia kukutana na Jurgen Klopp leo kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa, ambapo Ajax watawakaribisha klabu ya liverpool kwenye jiji la Amsterdam kwenye usiku wa Ulaya.

Jurgen Klopp, Jurgen Klopp: Nilijikasilikia Baada ya Kushindwa Kumsajiri Tadic, Meridianbet

Tadic alijiunga na klabu ya Ajax kwenye majira ya kiangazi mwaka 2018 kutokea klabu ya ya Southampton, baada ya kuwa na misimu minne bora kwenye klabu hiyo, kabla ya kwenye nchini uhalonzi ambapo aliundeleza moto wake.

Mpaka sasa Dusan Tadic amefanikiwa kufunga magoli 94, huku akisaidia kupatikana kwa magoli 98 kwenye michezo 209 aliyoichezea klabu hiyo,  pia amekuwa na mchango mkubwa kwenye mataji matatu walichoshinda na kufanikiwa kuifikisha Ajax kwenye nusu fainali ya ligi ya mabingwa mwaka 2019.

Kuelekea mchezo wa leo, jurgen Klopp ameweka wazi  hasira yake kwa kushindwa kumsajiri mchezi huyo mwenye miaka 33 sasa, kwa kuikiambia RTL: “Nampenda Tadic kama mchezaji.

“Nilikuwa na hasira dhidi yangu pale Tadic aliposajiriwa na klabu ya Ajax, kwa sababu nilikuwa navutiwa nawe”


 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa