Manchester City imesitisha kumlipa mshahara mchezaji wao Benjamin Mendy ambao ni zaidi ya £100,000 kwa wiki, baada ya beki huyo kushtakiwa kwa makosa ya ubakaji.

Mshindi huyo wa Kombe la Dunia la Ufaransa aliiambia Mahakama ya Chester siku ya Jumanne kwamba mabingwa hao waliondoa mshahara wake Septemba 2021. Odds kubwa za meridianbet

 

Mendy Afutiwa Mshahara Man City

Mendy anakanusha mashtaka saba ya ubakaji, moja la kujaribu kubaka na moja la unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake sita, Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 aliambia mahakama kuwa alitathmini upya maamuzi yake ya maisha katika kipindi cha miezi minne akiwa rumande. Tazama odds bomba na kubwa hapa

Mwendesha mashtaka Timothy Cray KC alionyesha picha za CCTV kutoka nje ya jumba la Mendy la Cheshire baada ya mchezaji huyo kuwa katika klabu ya usiku ya Chinawhite ya Manchester, Mendy anatuhumiwa kwa ubakaji nyumbani kwake jioni hiyo. Beti na meridianbet wana odds bomba

 

Mendy Afutiwa Mshahara Man City

Cray alimwambia Mendy kwamba anaweza ‘kukosea’ kuhusu ridhaa baada ya kunywa pombe na mshtakiwa akajibu: ‘Hapana, nilichokiona na kuhisi kilikuwa ni makubaliano. Nilifanya ngono na wanawake fulani nisiowajua.’ Odds bomba zinapatika hapa.

Cray alimwambia Mendy kuwa anadanganya ili ‘kujiokoa’ naye akajibu: ‘Hapana.’ Kesi inaendelea.


Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

AVIATOR

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa