Mo Salah Atangaza Kuondoka Liverpool

Mshambuliaji wa Liverpool wenyewe wanamuita Egyptian King, yaani Mfalme wa Misri Mo Salah ametangaza kuachana na waajiri wake ifikapo mwisho wa msimu huu. Jisajili na Meridianbet upate bonasi za kasino kibao na odds kubwa za ubashiri kwa machaguo kibao.

Mo Salah ambaye anashikiria rekodi ya kuifunga mara nyingi zaidi klabu ya Man Utd, ambaye amefunga jumla ya mabao 12, huku mabao 10 akiwa pale pale Old Trafford hadi sasa hajaitwa kuongeza mkataba mpya, yeye pamoja na Trent Alexander Anold.

Baada ya mchezo kumalizika kwa Mo Salah kuwa mchezaji bora wa mechi kati ya Man Utd vs Liverpool, iliyomalizika kwa Mashetani wekundu kupoteza jumla ya mabao 3-0 huu , Mo Salah akifuga bao la 3 na la ushindi, alisema kwamba huo ulikuwa ni mchezo wake wa mwisho akiwa Old Trafford.

Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.

“Kama unavyojua huu ni mwaka wangu wa mwisho katika klabu hii .Hakuna mtu katika klabu ambaye amezungumza nami kuhusu mikataba, kwa hivyo nitacheza msimu wangu wa mwisho na tutaona mwishoni mwa msimu, hadi sasa huu ni mchezo wangu wa mwisho (Old Trafford) nikiwa na Liverpool”

Je ni muda sahihi wa Mo Salh kuondoka Liverpool kwa msimu huu? nini wanapaswa kufanya Uongozi wa Liverpool ili Mo Salah aendelee kusalia Anfield. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Acha ujumbe