WINGA matata wa klabu ya Manchester City na timu ya taifa ya Algeria Riyad Mahrez anazidi kuwa mtamu na kiwango chake kimeonekana kuwa kikubwa kila mechi, na sasa kwenye mechi 211 alizocheza klabuni hapo amehusika kwenye mabao 116. Odds kubwa za soka uanzipata Meridianbet.
Mahrez mwenye umri wa miaka 31 amekuwa na mchango mkubwa kwa Manchester City na klabu yake ya zamani Leicester City kwani kwa sasa ameweka rekodi yake nzuri ya kuhusika kwenye mabao 200 kwenye mechi 390 alizocheza EPL. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.
βοΈ Leicester City π Mechi 179 | mabao 48β½ | asisti 36.
βοΈMan City π Mechi 211 | mabao 71β½ | asisti 45.
Mahrez msimu huu wa 2022/23 kwenye EPL amecheza michezo 12 amefunga mabao 2 na kutoa asisti 1, huku akioneshwa kadi ya njano moja. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.