Makala nyingine

Baada ya mechi ya raundi ya 16 kati ya Ureno na Ubelgiji, Cristiano Ronaldo na Thibaut Courtois wachezaji wawili waliyowahi kucheza pamoja walihusika kwenye matanange huo walikumbatiana na kubadilishana maneno …

Mchezaji na nahodha wa timu ya Croatia, Luca Modric aliendelea kuonesha ubora wake jana usiku katika fainali za EURO 2020 baada ya kuisaidia timu yake hiyo ya taifa kupata ushindi …

Gareth Bale ameeleza kwamba yupo tayari kurejea Real Madrid wakati huu wa majira ya joto, na amemsifu Carlo Ancelotti na kuelezea kuwa ana mahusiano makubwa na kocha huyo Muitalia. Ingawa …

Huku tetesi nyingi za usajili zikiendelea kwenye ligi kuu bara, Msimbazi kuna sitofahamu kubwa kuhusu nafasi ya viungo wakabaji wa timu hiyo, Gerson Fraga anahusishwa kurudi Msimbazi huku Jonas Mkude …

Mchezaji wa Man United, Jesse Lingard ambaye aliponesha kiwango safi baada ya kujiunga na West Ham United, ameonesha ukomavu katika soka. Ama hakika, uungwana ni vitendo. Lingard alimaliza msimu wa …

1 2