Ugumu France vs Portugal Euro 2020 Upo Hapa

Katika mechi zinazosubiriwa kwa hamu kubwa katika hatua ya makundi ya kundi F au maarufu kama kundi la kifo ni kati ya France dhidi ya Portugal. Ugumu wa mechi hii unakuja kutokana na mambo mengi.

Kwanza ni umuhimu wa mechi husika kwa pande zote mbili, France wanaongoza kundi hili akiwa na alama nne baada ya ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Germany na draw ya 1-1 dhidi ya Hungary.

Kwa upande wa pili, Portugal wana alama 3 baada ya ushindi mkubwa wa 3-0 dhidi ya Hungary kabla ya kupokea kichapo kikubwa cha 4-1 dhidi ya Germany. Mechi hii ilionesha Ureno kama hawajajipanga kabisa.

Ukweli kuwa Portugal ni bingwa mtetezi wa mashindano haya unamaanisha kuwa watapambana kufa kupona ili washinde mechi hii. Lakini pia, itakumbukwa kuwa France ni mabingwa wa kombe la dunia la mwaka 2018, na wao watatamani kuonesha ubora wao.

Katika mechi ambayo itashuhudiwa maajabu katika mashindano haya, basi hii ni mojawapo, France ina mastaa au nyota wengi sana ambao wanaweza kuamua matokeo ila Portugal wana Cristiano Ronaldo na Bruno Fernandes kama wachezaji wakubwa pekee.

Je, nani ataibuka mshindi? Usisite kupita tovuti ya Meridiabet na kuweka ubashiri wako sasa ili kujinyakulia kitita kirefu kabisa.


USHINDI BILA MIPAKA!

Hakuna mipaka ya ushindi kwenye Keno Instant ya meridianbet Kasino, hii wewe ndiyo una uamuzi zaidi juu ya mchezo na nafasi ya machaguo kibao.
Arsenal, Arsenal Wawasilisha Ofa ya Pili Joaquin Correa., Meridianbet

Acha ujumbe