Nyumbani Football Europa League

Europa League

Tottenham Kukata Rufaa ya Kupinga Maamuzi ya UEFA

0
Kocha mkuu wa klabu ya Tottenham Antonio Conte ameeleza kuhusu maamuzi ya UEFA ya kuwaondoa kwenye michuano ya "Europa Conference League" ni ya ajabu na amesema kuwa klabu yake itakataa rufaa mahakamani. Rennes walipatiwa ushindi wa 3-0 dhidi ya Tottenham...
Conte

Conte: Tottenham 13 Wapata Maambukizi ya Uviko-19

0
Antonio Conte amethibitisha wachezaji nane wa kikosi cha kwanza na watano kwenye benchi lake wamepima na kukutwa na maambukizi ya Uviko-19 na wanapaswa kujitenga kwa matibabu zaidi. Conte anakubali kuwa huu ni ugonjwa hatari watu waliopima jana na kuonekana hawana...
Union Berlin

Union Berlin Waangukiwa na Rungu la UEFA

0
klabu ya Union Berlin imeamrishwa kutotumia baadhi ya majukwaa yao katika uwanja wao kwenye mchezo unaokuja kutokana na tabia ya kibaguzi iliyofanywa na baadhi ya mashabiki wake kwenye mchezo wa ' Europa Conference League'. Mmoja wa shabiki alipigwa picha akionesha...

Uchambuzi Europa: Leicester City vs Napoli

0
Michuano ya Europa League msimu huu inaanza kutimua vumbi na siku ya Alhamisi usiku timu kibao zitaonyeshana uwezo ikiwa ni hatua ya makundi, hapa acha tuangalie mchezo kati ya Leicester City dhidi ya Napoli utakaopigwa katika dimba la King...
Agbonlahor ATAKA OLE ANG'OKE

Agbonlahor:”Mleteni Zidane United Tu”

1
Mchezaji wa zamani wa Aston Villa, Gabriel Agbonlahor ametoa maoni kuwa Kocha wa sasa wa timu ya Manchester United Ole Gunnar Solskjaer arithiwe nafasi yake na kocha anayeondoka Madrid, Zinedine Zidane. Ulimwengu ulitamani kuona Solksjaer anachukua kombe lake la kwanza...
maldini

PAOLO MALDINI; Jembe Lililo zaliwa na Kuhudumu Milan

1
Kwanza baba yake Cesare Maldini, au ukipenda muite Maldini Senior alikuwa mchezaji bora ligi kuu ya Italy miaka ya 60. Nadharia inasema wachezaji bora hawazai wachezaji bora. Ni wachache sana wamefanikiwa, kama 'the great Mazinho' baba mzazi wa Thiago Alcantara...
Tetesi za soka- Martin Odegaard

Tetesi za Soka Barani Ulaya

0
Tetesi za soka leo Ijumaa Mei 21, 2021 barani Ulaya zinasema:- Tetesi zinasema, Mabingwa wa Ligi ya England Manchester City wamepania kumpa mshambuliaji wa England Raheem Sterling, 26, mkataba mpya wa kudumu. Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Real Madrid wa Wales Gareth...
Bruno Fernandes

Bruno Ashinda Mchezaji Bora wa Mwaka wa Man Utd

1
Kiungo Bruno Fernandes amechaguliwa kuwa mchezaji Bora wa mwaka wa Manchester United licha ya wachezaji wenzake kumpigia kura beki wa kushoto Luke Shaw. Fernandes amechaguliwa kuwa Bora na mashabiki. Kiungo huyo wa Kireno amepata asilimia 63 ya kura hizo za...
Mino Raiola

Mino Raiola na Mitego ya Pesa Nyingi kwa Wachezaji wake

1
Mino Raiola Pengine huyu ndiye binadamu anayechukiwa zaidi na Sir Alex Fergie. Si kwasababu alisumbuana nae uwanjani bali namna alivokuwa mafia na mchafu sokoni. Biashara zake zilijaa giza sana. Mwaka 2012, Paul Pogba akiwa kijana mdogo tu wa miaka 19, Raiola...
Tetesi za soka- Gervinho

Tetesi za Soka Barani Ulaya

2
Tetesi za soka barani Ulaya leo Jumanne Mei 18, 2021 zinasema:- Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa England Harry Kane kwa mara nyengine ameambia Tottenham anataka kuondoka katika klabu hiyo ya ligi ya England mwisho wa msimu huu. Manchester City, Chelsea na...

MOST COMMENTED

Real Madrid Watambulisha Uzi wa Ugenini

1
Klabu ya Real Madrid ya LaLiga wametambulisha jezi zao mpya za ugenini kwa kampeni ya 2021/22. Kwa kushirikiana na mtengenezaji wa klabu Adidas, jezi za...

HOT NEWS