Mchezaji wa zamani wa Aston Villa, Gabriel Agbonlahor ametoa maoni kuwa Kocha wa sasa wa timu ya Manchester United Ole Gunnar Solskjaer arithiwe nafasi yake na kocha anayeondoka Madrid, Zinedine Zidane.

Ulimwengu ulitamani kuona Solksjaer anachukua kombe lake la kwanza akiwa kama kocha wa United, lakini usiku uligeuka kuwa mzito baada ya kupoteza kwa mikwaju ya penati dhidi ya Villarreal.

Gabriel Agbonlahor anaamini kuwa United inahitaji kocha ambaye ataipeleka klabu hiyo sehemu nzuri na si vinginevyo. Agbonlahor anadai kuwa Ole amekuwa dhaifu kufanya maamuzi makubwa kwenye mechi kubwa hivyo kuathiri uwezo wa timu kuchukua makombe.

Nahisi kwa upande wangu, unaona Zidane ameondoka Real Madrid, Conte ameondoka Inter, ila mimi ningeenda kwa ajili ya Zidane,” aliliambiwa jarida la Talksport.

Nahisi kwa uwezo wake, atakuwa miongoni mwa watu watakaoheshimika pale United kama kocha, na ukilinganisha kwa kazi kubwa aliyofanya Real Madrid. Naamini wachezaji wa United wanahitaji mtu kama yule ili washinde mataji mengi”, alimalizia Agbonlahor.
Baada ya mechi ya jana, Ole alidai kuwa hakuna haja ya kulaumiana kwani mechi imekwisha na watakuja imara zaidi kwa ajili ya ubingwa msimu ujao.

BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa