De Zerbi: "Fati Anaweza Kuwa Bora Zaidi Baada ya Kufanya Vyema Katika Ushindi Dhidi ya Ajax"

Roberto De Zerbi alimpa changamoto Ansu Fati kufanya vyema zaidi baada ya ushindi wa 2-0 wa Brighton wa Ligi ya Europa dhidi ya Ajax.

 

De Zerbi: "Fati Anaweza Kuwa Bora Zaidi Baada ya Kufanya Vyema Katika Ushindi Dhidi ya Ajax"

Mchezaji huyo wa mkopo wa Barcelona Fati, mwenye miaka 21, alifunga bao la kwanza wakati Seagulls wakipata ushindi wao wa pili dhidi ya wababe hao wa Uholanzi ndani ya muda wa wiki mbili na kupanda hadi nafasi mbili za juu katika Kundi B.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Licha ya kumpanga Simon Adingra kufunga la pili baada ya mapumziko, meneja wake anaamini bado kuna maeneo ambayo nyota huyo anaweza kuboresha.

De Zerbi: "Fati Anaweza Kuwa Bora Zaidi Baada ya Kufanya Vyema Katika Ushindi Dhidi ya Ajax"

Akizungumza kuhusu wafungaji mabao hao wawili, De Zerbi aliiambia TNT Sports: “Nimeridhika lakini siku zote ninatarajia zaidi na zaidi. Kwa Ansu, alicheza vizuri sana kipindi cha kwanza na cha pili lakini baada ya bao la pili nadhani angeweza kucheza vizuri zaidi. Angeweza kufunga bao la tatu. Hahitaji kufurahishwa na bao pekee, anahitaji kufanya vyema zaidi.”

De Zerbi aliongeza kuwa amefurahishwa na matokeo, uchezaji na mashabiki wao. Walikuwa wa ajabu sana. Wana furaha sana. Bao la kwanza lilikuwa muhimu na lilikuwa mtindo wao kwa sababu waliwaweka kwenye presha na kufunga ndani ya pasi mbili.

“Nimefurahishwa na matokeo, uchezaji na mashabiki wetu. Walikuwa wa ajabu sana. Tuna furaha sana.”

De Zerbi: "Fati Anaweza Kuwa Bora Zaidi Baada ya Kufanya Vyema Katika Ushindi Dhidi ya Ajax"

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Veltman, ambaye alitumia miaka 19 na Ajax, aliiambia tovuti rasmi ya Brighton: “Tumeweka ndoto hiyo hai. Tulihitaji pointi hizo tatu nadhani. Ulikuwa mchezo wa wazi, hasa kipindi cha pili, lakini nadhani 2-0, tulikuwa sawa.”

Nadhani hasa katika kipindi cha pili, ilikuwa ya kushangaza. Ni ushindi wetu wa kwanza ugenini Ulaya pia kwa hivyo ninajivunia. Alimaliza hivyo mchezaji huyo.

Acha ujumbe