Todd Boehly Mmiliki Mpya wa Chelsea
Todd Boehly na washirika wamemilikishwa rasmi klabu ya chelsea baada ya kukamilisha hatua zote ambazo serikali na bodi ya ligi waliziweka ili kuweza kuinunua klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza.
Todd Boehly na washirika wake wamelipa kiasa cha £4.25...
Conor Gallagher: Nilitaka Kuwepo Uwanjani
Mchezaji ambaye anaichezea klabu ya Crystal Palace kwa mkopo akitokea Chelsea Conor Gallagher amekili kuvunjika moyo baada ya kutokuwepo kwenye mchezo wa nusu fainali ya FA Cup kwenye uwanja wa Wembley dhidi ya Chelsea.
Conor Gallagher ambaye anaitumikia klabu ya...
Chelsea Yaweka Wazi Kikosi Ambacho Kitawakabili Crystal Palace FA Cup
Klabu ya Chelsea inatarajia kucheza mchezo wa nusu fainali ya mashindano ya FA Cup kwenye dimba la Wembley dakika chache kuanzia sasa na kocha wa klabu hiyo ameshatoa listi ya wachezaji anaotarajia kuanza nao kwenye mchezo huo.
Kwenye kikosi chake...
Guardiola Awashauri Wachezaji Wake Walale Kadri Wawezavyo
Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amewashauri wachezaji wake “sleep, sleep, sleep” kulala sana kabla ya mchezo wao dhidi ya Liverpool wa nusu fainali ya FA Cup siku ya jumamosi.
Pep Guardiola mchezo wake wa kesho ni wa...
FA: Tunatarajia Chelsea Kuuza Tiketi Kwenye Mchezo wa FA Cup
Chama cha soka nchini Uingereza FA wamesema wako kwenye mazungumzo na serikali kwa ajiri ya kuiruhusu klabu ya Chelsea kuweza kuuza tiketi kwenye mchezo wa nusu fainali ya FA Cup dhidi ya Crystal Palace.
Vikwazo alivyowekewa mmiliki wa timu hiyo...
Chelsea na Vita ya Kuuza Tiketi za Mchezo wa FA Cup
Mashabiki wa Chelsea hawapaswi kuadhibiwa na vikazo vya mmiliki wa klabu hiyo na wanapaswa kuruhusiwa kununua tiketi za mchezo wa nusu fainali ya FA Cup dhidi ya Crystal Palace mwezi ujao, mwenyekiti wa bunge la Uingereza leo Jumatatu.
Klabu ya...
Mount na Njaa Yake ya Kushinda Taji la Ndani
Mchezaji Mason Mount amedhamiria kushinda taji la ndani ya Uingereza na Chelsea baada ya kujaribu mara tatu na kupoteza katika fainali zote.
Kinda huyo ambaye ni zao la akademi ya Chelsea tayari ameshinda mataji makubwa kama Ligi ya Mabingwa, UEFA...
Chelsea Waondoa Ombi la Kucheza Pasipo Mashabiki FA Cup
Chelsea wameondoa ombi lao la kutaka kucheza mchezo wao wa robo fainali FA Cup bila ya mashabiki dhidi ya Middlesbrough siku ya jumamosi tarehe 19 machi.
Leo mapema klabu ya Chelsea iliomba chama cha soka nchini uingereza FA kuruhusu mchezo...
Chelsea Wataka FA Cup Kuchezwa Bila ya Mashabiki
Klabu ya Chelsea wamekitaka chama cha soka nchini Uingereza FA kurusu mchezo wa robo fainali dhidi ya Middlesbrough kuchezwa bila ya mashabiki ili kuleta usawa wa kimechezo kutokana na wao kuzuiwa kuuza tiketi kwa mashabiki wao na wageni.
Chelsea kwa...
EPL na FA Wazungumza na Serikali kuhusu Chelsea
EPL na FA wamefanya kikao na serikali ya Uingereza kuhusu uhalali wa wa kuzuia mauzo ya tiketi kutokana na kuzuia mauzo ya tiketi yasifanyike kwenye michezo yote ya Chelsea ya nyumbani.
Serikali ya Uingereza imemuwekea vikwazo tajiri wa klabu hiyo...