Ally Niyonzima Deal Done Azam

Azam FC wamekamilisha usajili wa kiungo mkabaji wa kimataifa wa Rwanda, Ally Niyonzima, kwa mkataba wa miaka miwili.

Niyonzima aliyekuwa akicheza Rayon Sports ya Rwanda, usajili wake ni sehemu ya mapendekezo ya benchi la ufundi la Azam FC chini ya Kocha Mkuu, Aristica Cioaba.

Kiungo huyo nyota mwenye umbo kubwa, amesaini mkataba leo Jumamosi mbele ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin ‘Popat’.

Niyonzima, ambaye yumo kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Rwanda ‘Amavubi’, anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa na Azam FC kwa ajili ya msimu ujao.

Usajili wa kwanza ulikuwa ni wa kiungo Awesu Awesu, kwa usajili huru akitokea Kagera Sugar.


Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.

Cheza Hapa Sasa

49 Komentara

    kiungo mkabaji

    Jibu

    Azam wameweka unyonge pembeni katika swala la kusajili,hii yote ni maandilizi ya msimu ujao ya VPL

    Jibu

    Mashabiki wanamkubali Sana
    Niyonzima@meridianbettz

    Jibu

    Azam inataka kurudi enzi za kushindania mataji, tunasubiri kuona ushindaji ktk ligi#meridianbettz

    Jibu

    Kiungo mnzur na azam honger yao kwa kumpat!!

    Jibu

    Kwa usajili huu wanao hufanya azam wanaweza kurudi kwenye ali yao ya zamani

    Jibu

    Kazi njema Niyonzima

    Jibu

    Azam wamefanya Jambo la maana sana kumsaliji huyu jamaa #Meridianbettz

    Jibu

    Msimu huu wachezaji wengi walijituma watapata madili sana hapa kwenye ligi yetu kwani karibia timu zote zimeingia sokoni kujiimarisha zaidi.

    Jibu

    Nenda salama

    Jibu

    Jambo zuri sana kumsajiri kiungo mshambuliaji#meridianbettz

    Jibu

    Tunaisubir kuiona Azam ikifanya vizur zaid

    Jibu

    Kila la kheri brooo

    Jibu

    Jambo zuri kiungo mzuri kalibia Azam

    Jibu

    Anaonekana yuko vizuri.

    Jibu

    Ni kiungo makini

    Jibu

    Azam wamefanya kitu cha msingi kumsajili miyonzima bonge LA mchezaji

    Jibu

    Azam mnajitahidi sana

    Jibu

    Jamaa yuko vizuri

    Jibu

    Namkubari sanaa #meridianbett

    Jibu

    Azam wamefanya usajili hatari

    Jibu

    Deal nzuri kwa wana lamba lamba hao.

    Jibu

    DEAL DONE

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Hongera kwao AZAM natumain next season wanawez toa ushndan kwa TIMU za kkoo

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Safii Azam fc

    Jibu

    Jamaaa anajua

    Jibu

    Niyonzima fundiii

    Jibu

    Kiongo mkabaji

    Jibu

    Hatar xana uyo jamaaa!!!

    Jibu

    mambo n moto

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Tunataka league yenye ushindani msimu ujao

    Jibu

    Mchezaji mzuri sana

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Kijana mahiri Sana niyonzima,Azam club wamefanya vema kumchukua huyu kijana.

    Jibu

    Kambi popote kikubwa kujitambua zaidi

    Jibu

    Azam wamefanya usajili wa maana sana niyonzima ni kuliungo mzuri sana lazima ataleta changamoto azam

    Jibu

    Kila laher ally

    Jibu

    Safi sanaa maana ataongeza nguvu katika kikosi Chao ili wafanye vizuri msimu ujao

    Jibu

    hongera azam kwa kuimarisha kikosi

    Jibu

    Mambo ni moto

    Jibu

    Azam wamefanya Jambo zuri Sana katika usajili wa niyonzima

    Jibu

    Kila la kheri Niyonzima

    Jibu

    Kazi mzr azam fc

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Safiiii niyonzima

    Jibu

    Nimeupenda sana usajili wa Azam FC

    Jibu

Acha ujumbe