Kocha wa klabu ya Chelsea Thomas Tuchel  amewataka waandishi kuacha kumuuliza maswali kuhusu uvamizi wa ukraine na mpango wa mmiliki wa timu hiyo kuachia timu kwa kwa bodi ya wadhamini.

Tuchel wakati akifanya kikao na waandishi wa habari kabla ya mchezo wake wa FA Cup siku ya Jumatano kwenye jiji la Luton, alipoteza ukawida na kuwa na hasira baada kuulizwa mara nyingi kuhusu vita ya Ukraine na kitendo cha mmiliki wa klabu hiyo kuaichia timu kwa bodi ya wadhamini baada ya bunge kutaka awekewe vikwazo.

Thomas Tuchel
Thomas Tuchel

“Sikiliza, sikiliza, sikiliza, inabidi muache hili” Tuchel alisema. “Mimi sio mwanasiasa inabidi muache hili, kiukweli, naweza kurudia hili tu, naweza kujisikia vibaya kurudia hii kwa sababu, nimependelewa sana, nakaa hapa kwa amani na fanya kadri niwezavyo hapa, lakini naomba muache kuniuliza mimi maswali hayo, sina majibu yake kwenu.”

Thomas Tuchel alipoulizwa ikiwa anaujumbe kwa mashabiki wa Chelsea kuhusu uhamuzi wa Abramovich kuichia timu kwa bodi ya udhamini, ambao bado nao hawajakubali. alijibu ” sina uhakika ikiwa mimi ni mtu sahihi wa kuweza kutoa ujumbe kwa mashabiki kuhusu chochote kingine kuliko michezo.

Tunajaribu kuwa watulivu hapa, na mimi kuwa mtulivu na sisi kuwa watulivu katikati ya majanga au kelele zinazotuzunguka ambazo hatuwezi kuzizuia na hatuwajibiki nazo mwisho, ni bora kuwa kimya na kujikita kwenye kile tunachokipenda  na kukifanya. huu ndi mchezo.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa