FPL Yatua Handeni Tanga. Ushindi GW8!

EPL inawendelea kuchanja mbuga, vivyo hivyo, Fantasy Premier League (FPL) inaendelea kutoa zawadi na bonasi kibao kwa washindi wake kupitia MeridianbetTZ. 

Baada ya Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam kuibuka washindi kwenye wiki 3 za mwanzo wa shindano hili. Safari hii, mshindi ametoka Hangeni mkoani Tanga. Ashraf Ahmad Msimbazi, alijikusanyia pointi 84 na kuibuka kidedea kwa wiki ya 8. Huyu hapa Bwana Msimbazi, akiteta mawili matatu na Ripota wetu.

Ripota: Tungependa kujua, ulitumia mbinu gani katika kutengeneza kikosi chako cha ushindi kwa GW8?

Msimbazi: Kwanza, ninaangalia kwenye kikosi changu kama kuna mchezaji yeyote kaumia, kama kaumia namtoa. Pili, kama kwenye kikosi changu kuna wachezaji wanakutana, ninamtoa mchezaji mmoja kati yao. Tatu, kama wachezaji wengi wanacheza ‘big match’ ninawapunguza na ninawaweka wachezaji ambao hawana mechi ngumu.

Ripota: Anhaa.. kwa maana hii, huwa unafanya mabadiliko au pengine usajili mara ngapi kwa kila wiki?

Msimbazi: Sio zaidi ya wachezaji watatu nikizidisha hapo nakatwa pointi kama 8 hivi ukitoa mmoja wa free.

Ripota: Kwa GW8 ulitumia kigezo gani kumpata nahodha wa wiki? Au pengine huwa unaangalia vitu gani katika kumchagua nahodha wako?

Kikosi cha Ushindi kwa GW8.

Msimbazi: Nahodha huwa ninamuweka mchezaji mkubwa, kama akiwa siku hiyo anacheza na timu ndogo. Mfano, ukimchukua Mane au Salah akiwa anacheza na Watford ni rahisi sana kukupa pointi nyingi kwa kuwa kwenye timu nzima ya Watford, hakuna mchezaji kama huyo.

Ripota: Umetisha sana. Unawashauri nini wachezaji wengine wa Fantasy (FPL) kuelekea GW9?

Msimbazi: Kwanza, wafuatilie game ikoje. Mfano, unaweza kumuweka Ronaldo wakati timu anayocheza nayo si rahisi. Kabla ya kuchukua mchezaji, angalia uwezo wa kikosi chote. Je, wataweza kumsaidia huyu mchezaji kupata matokeo? Inaweza kuwa, mchezaji anaempa pasi za magoli huyo mchezaji wako, siku hiyo hachezi.

Ripota: Shukran sana, hakika wewe ni mshindi!

GW9 itaanza leo usiku kwa mchezo wa Arsenal vs Aston Villa. Unaweza kuibuka kidedea kupitia ligi ya MeridianbetTZ ndani ya Fantasy Premier League (FPL) ! Ingia mchezoni.


KUSANYA MKWANJA NA BIG BAD WOLF

Mchezo wa Big Bad Wolf ni moja ya michezo pendwa katika kasino zetu za meridianbet. Ukiachana na tabasamu utakalolipata wakati wa kucheza pia unajiwekea nafasi ya kuwa mshindi wa mkwanja mrefu unaotoka kila baada ya mzunguko kukamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe