Mchezaji wa klabu ya Paris Saint Germain Idrissa Gueye kukosekana kwake kwenye mchezo wa siku ya jumamosi dhidi ya Montpellier kulileta sintofahamu kutokana kuwepo kwake kwenye mchezo huo ambapo PSG waliibuka na Ushindi wa 4-0 lakini.

Idrissa Gueye mchezaji wa zamni wa klabu ya Everton alikuwepo kwenye kikosi cha timu ya Paris Saint Germain ambacho kilisafiri kwenda kwenye mchezo huo, lakini hakuwepo katika majina ya wachezaji ambao walitakiwa kuwepo kwenye mchezo huo.

Idrissa Gueye

Kocha wa klabu hiyo Mauricio Pochettino aliweka wazi kuwa “Idrissa ilibidi aondolewe kwenye listi ya majina timu kwa sababu binafsi, lakini sio majeruhi”

Idrissa Gueye ambaye ni mchezaji wa kimataifa kutoka Senagal, msimu uliopita alikosa mchezo kwenye hatua kama hii kutokana na matatizo ya tumbo kulingana na gazeti la  L’Equipe.

Mpaka sasa bado haijajurikana ni nini zaidi kilichofanya akosekane kwenye mchezo huo, huku wengi wakidai kuwa uwepo wa upinde wa mvua kwenye namba za jezi hiyo ndio sababu kuu ya yeye kutokuwepo kwenye mchezo huo.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa