Mchezaji nyota wa klabu ya Paris Saint Germain Kylian Mbappe ambaye mwishoni mwa msimu huu mkataba na mabingwa wa Ligue 1 unakwisha bado anagonga vichwa vya habari za usajiri barani ulaya kuhusu hatma yake kwa msimu ujao.

Awali mtandao wa The Athletics ulilipoti kuwa Kylian Mbappe tayari kashafanya makubaliano binafsi na klabu ya Real Madrid kuhusu uwezekano wa kumwaga wino ili kujiunga na yo kwenye majira ya kiangazi kwa uhamisho huru.

Kylian Mbappe
Kylian Mbappe

Lakini mpaka sasa Mbappe ajaweka saini kwenye klabu yoyote sio Real Madrid wala Paris Saint Germain, na klabu zote hizo bado zinajaribu kumshawishi ili aweze kukubali kuweza kuitumikia moja wapo ya hizo.

Klabu ya Real madrid ambao walijaribu kupeleka offa kwenye klabu ya PSG majira ya kiangazi lakini offa yap ilitupiliwa mbali na klabu hiyo wana matumaini ya kumsajiri akiwa huru kwenye dirisha la majira ya kiangazi baada ligi kuisha.

Pia kocha wa klabu hiyo ya PSG Mauricio Pochettino mwezi uliopita alizungumza kuhusu mbappe na kuthibitisha kuwa anaimani kubwa ya kuwa mchezaji huyo atabaki kwenye klabu hiyo kwa msimu ujao.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa