Nyumbani Football International Friendlies

International Friendlies

Xhaka Akutwa na COVID-19 Akiwa na Switzerland

Xhaka Akutwa na COVID-19 Akiwa na Switzerland

0
Kiungo wa Arsenal Granit Xhaka amepimwa na kukutwa na maambukizi ya virusi vya corona  wakati akiwa katika majukumu na timu ya taifa ya Switzerland. Timu ya Uswiss imethibitisha siku ya Jumatano kwa kiungo huyo ambaye alitolewa kwa kadi nyekundu katika...
Benzema Huenda Akacheza Dhidi ya Germany

Benzema Huenda Akacheza Dhidi ya Germany

Karim Benzema hajaumia sana katika mchezo wa Ufaransa dhidi ya Bulgaria Jumanne na anatarajiwa kupatikana kwa mchezo wa ufunguzi wa Mashindano ya Ulaya dhidi ya Ujerumani mwezi Juni 14. Mshambuliaji huyo wa Real Madrid alicheza katika mchezo wa kirafiki wa...

Jesse Lingard, Uungwana ni Vitendo.

Mchezaji wa Man United, Jesse Lingard ambaye aliponesha kiwango safi baada ya kujiunga na West Ham United, ameonesha ukomavu katika soka. Ama hakika, uungwana ni vitendo. Lingard alimaliza msimu wa EPL 2020/21 kwa kupachika magoli 9 katika michezo 16 aliyowatumikia...
Al Ahly

Al Ahly ya Misri Wanahusudu Biriani la Wekundu wa Msimbazi

Al Ahly hii au nyingine? Nilijiuliza lakini nikiri wazi nilianza kushtuka, nikaamini wazi CEO anatupanga, nikaona ameamua kutufunga kamba ila kuna sauti ikaniambia fanya research jiridhishe, usipinge tu. Nikaanza kuwatafiti Ahly kisha nikawatafiti hata majirani zao Zamalek kisha nikaja kurelate...

Karim Benzema na Ufaransa ni Nyumbani

Siku, Masaa, Dakika na Sekunde hufanya kubadilika Kwa majira na namba za Miaka. Mwaka 2015 miaka 6 iliyopitia ilikuwa ni mara ya mwisho kuiona jezi nambari 10 ya timu ya Taifa ya Ufaransa ikiwa mbele, mgongoni Kwa Shekhe Karim...
Moore Awaokoa Wales dhidi ya Mexico

Moore Awaokoa Wales dhidi ya Mexico

Kieffer Moore alifunga bao pekee la mchezo wakati Wales walipopata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mexico siku ya Jumamosi. Wales ilibadilisha wachezaji wote 11 baada ya kutoka kupoteza kwa 3-1 mchezo wa kutafuta tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia...

Stones Anastahili Kuitwa Katika Kikosi cha England

John Stones anastahili kuitwa katika timu ya taifa ya England, hii ni kulingana na meneja wa Manchester City Pep Guardiola. Beki huyo mwenye umri wa miaka 26 aliifungia City bao la ufunguzi katika ushindi wa 3-0 Jumamosi ugenini dhidi ya...

Bibiana Mwanamke wa Kwanza Kuchezesha Bundesliga

Leslie Feinberg alikuWa mwandishi mkubwa sana nchini Marekani, licha ya kuwa na maumbile ya kike lakini alipenda sana kuwa mwanaume, hivyo ikambidi aishi katika desturi za kiume (Tom boy). Binti huyu aliandika article nyingi sana ikiwemo ya kuhusu Gender...

Messi Anavyotukumbusha Mungu Yupo

Nimesikia maajabu mengi sana duniani ikiwemo mchanga unaotembea katika hifadhi ya taifa Ngorongoro. Nimesikia juu ya miti inayotembea ndani ya msitu mkubwa wa Amazon. Unajua bado siamini kama ipo chemchem inayotoa maji ya moto chini ya ardhi? Hii ni...

Messi Akiri Kutaka Kuondoka Kumemgharimu Msimu Huu

14
Mshambuliaji wa Barcelona na timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi, amesema jaribio lake la kutaka kuondoka klabuni hapo ambalo liligonga mwamba katika dirisha la uhamisho lililopita liliathiri sana mchezo wake msimu huu. Mwezi Agosti mwaka huu mshambuliaji huyo nyota...

MOST COMMENTED

Dau Litawakwamisha United Tena kwa Sancho?

8
Klabu ya Manchester United inatajwa kuwa tayari ipo kwenye maandalizi ya kuwasilisha ofa ya £80m kwa ajili ya kumsajili nyota wa Borrusia Dortmund, Jadon...

HOT NEWS