Mlinzi wa Houston Rockets, James Harden amechapa rekodi mpya katika historia ya NBA kwa kuwa mchezaji wa kwanza aliyeweza kushinda angalau magoli 30 dhidi ya wapinzani wote 29 kwa msimu mmoja.
Bingwa huyu anayeshikilia taji la mchezaji mwenye thamani zaidi -NBA MVP aliipatia James Houston Rockets ponti 31 kwenye ushindi wa 121-105 dhidi ya Atlanta Hawks ikiwa ni mara ya 48 katika gemu 67 za msimu huu ambazo amefanikiwa kupata angalau pointi 30.
Harden ambaye ana miaka 29 pia ametoa assist 10 na rebounds 8. Mapema kabisa msimu huu staa huyu alipata pointi 30 au zaidi kwenye mechi 32 mfululizo hadi kufikia mwezi disemba dhidi ya Hawks.
Povel
Habar njema