Meridianabet wakishirikiana na Expanse studio wanakuletea mchezo bora kwenye kasino ya mtandaoni STICKY 777 ambao wenye lines kumi tu unakosaje kuwa mshindi na kujikusanyi ushindi wako sasa!

Mchezo wa STICKY 777 unakupa ushindi mkubwa kuliko kiasi chako utakachoweka kinaweza lipwa mpaka mara 1000, kwanini usicheze kasino ya mtandaoni  ya meridianbet ili uwe moja ya washindi wakubwa wa kasino.

Kasino Mtandaoni

Alama mbili za wild zikikaa popote pale basi utapata mzunguko wa bure, kwenye  mizunguko ya bure Wild haitazunguka itabaki ikiwa imesimama na ukipata Wild ya tatu au zaidi basi kwenye mizunguko ya bure basi utapata magurudumu ya bonasi.

Kwenye mizunguko ya bure ushindi utakaopatikana utalipwa kwa thamani ya kiwango cha pesa ulicholiweka hakitaweza badilika pindi upatapo mizunguko ya bure.

Ikiwa utapata Wild tatu, basi utapata gurudumu level ya kwanza la bonasi, ukiwa utapata wild nne, basi utapata gurudumu la level ya pili ya bonasi na ikiwa utapa Wild tano, basi utapata gurudumu la level ya tatu ya bonasi,  hizi level za gurudmu zinaviwango tofauti vya thamani, kwa nini usiwe mmoja ya watu watakaofaidika na hizi bonasi!

Uzuri wa STICKY 777 inakupa nafasi ya GAMBLE, ili uweze kuongeza ushindi wako  kwa kuchagua karata sahihi iliuweze kulipwa mara mbili ya ushindi na ukikosea basi unapoteza kile ulichoshinda, na GAMBLE inaweza kuchezwa mara tano kwa mara moja au kiasi cha juu kabisa kuweza GAMBLE ni milioni nne.

Kama huna akaunti ya Meridianbet basi usijari fungua HAPA na ufuate maelekezo  kuweza kufurahia huduma bora kutoka meridianbetkasino.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa