Nahodha wa timu ya taifa ya Ufaransa na mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Kylian Mbappe amesema kua hafikirii kua mrithi wa Cristiano Ronaldo ndani ya Real Madrid badala yake …
Makala nyingine
Klabu ya Mamelodi Sundowns kutoka nchini Afrika ya Kusini wameamua kuachana rasmi na aliyekua kocha wa klabu hiyo Rulani Mokwena kwa makubaliano ya pande zote mbili. Klabu ya Mamelodi Sundowns …
Paul Pogba amethibitisha kuwa bado ni mchezaji wa Juventus na hana nia ya kutundika daruga, huku akiendelea kukata rufaa ya kufungiwa kwake miaka minne ya kutumia dawa za kuongeza nguvu …
Kocha wa Kiitaliano Francesco Calzona aliishutumu Uingereza kwa kupoteza wakati wa ushindi wao wa muda wa ziada dhidi ya Slovakia katika EURO 2024, akisema kuwa waliwaogopa na walistahili kuvumilia. Kocha …
Kipa wa Uswizi Yann Sommer amesema kuwa soka la Italia haliko kwenye anguko baada ya kuondolewa kwenye EURO 2024 kwa aibu katika hatua ya 16 bora na kudokeza kwamba Dan …
Luciano Spalletti alianza kupanga chaguo la kikosi chake na upangaji mbinu kwa ajili ya mechi ijayo ya Italia ya Raundi ya 16 ya Euro 2024 dhidi ya Uswizi. Azzurri chini …
Kocha mpya wa Napoli Antonio Conte amesema anasubiri kufanya kazi na wawakilishi wawili wa timu ya taifa ya klabu hiyo kwa sasa hawapo na kocha wa zamani wa Partenopei Luciano …
Kiungo wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Manchester City Phil Foden ameripotiwa kuondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Uingereza na kurejea nyumbani. Chama cha soka …
Mshambuliaji wa kimataifa ya Hispania Joselu Mato ambaye alikua anakipiga ndani ya klabu ya Real Madrid kwa mkopo akitokea Espanyol Joselu Mato ameamua kutimkia nchini Saudia Arabia. Joselu Mato ameitumikia …
Baada ya kudumu kwa miaka 23 ndani ya klabu ya Real Madrid aliyekua nahodha wa timu hiyo Nacho Fernandez ataondoka klabuni hapo na kutimkia ligi kuu ya Saudia Arabia. Nacho …
Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza Gareth Southgate anapitia kipindi kigumu kutoka kwa mashabiki wa timu hiyo wakimshutumu kua ameshindwa namna ya kuipangilia timu hiyo. Southgate anaiongoza Uingereza kwenye …
Timu ya taifa ya Serbia inaonekana bado inachechemea kwenye michuano ya Euro 2024 baada ya kuambulia alama moja kwenye michezo miwili ya makundi ambayo wamecheza mpaka sasa. Serbia ambao leo …
Timu ya taifa ya Croatia imekua na wakati mgumu kwenye michuano ya Euro 2024 baada ya kushindwa kupata matokeo ya ushindi kwenye michezo yake miwili ya awali ambayo wamecheza. Croatia …
Timu ya taifa ya Uholanzi imefanikiwa kuanza michuano ya Euro mwaka 2024 kwa matokeo ya ushindi baada ya kuifunga timu ya taifa ya Poland kwa jumla ya mabao mawili kwa …
Timu ya taifa ya Uingereza leo inatupa karata yake ya kwanza kwenye michuano ya Euro 2024 ambayo imeanza Ijumaa ya tarehe 14 mwezi huu wenyeji Ujerumani wakifungua dhidi ya Scotland. …
Staa wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi ambaye kwasasa anakipiga ndani ya klabu ya Inter Miami amesema kua anafikiri klabu hiyo ambayo inashiriki ligi kuu ya Marekani maarufu …
Luciano Spalletti amesema kuna habari njema sana kutoka kwa Nicolò Barella baada ya vipimo vya jeraha lake, akiwa na imani kuwa atakuwa tayari kwa mechi ya ufunguzi za EURO 2024 …
Staa wa zamani wa klabu ya Barcelona Lionel Messi amefanya mazungumzo na chombo kimoja cha habari nchini kwao Argentina na kuzungumza kua klabu ya Real Madrid ni bora duniani. Lionel …
Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza na benchi lake la ufundi wamekileta hadgarani kikosi cha timu hiyo ambacho kitakwenda kushiriki michuano ya Euro mwaka 2024 nchini Ujerumani. Uingereza waliita …
Beki wa klabu ya Manchester United Harry Maguire pamoja na kiungo mshambuliaji wa klabu ya Manchester City Jack Grealish wameachwa kwenye kikosi cha Uingereza ambazo kitashiriki michuano ya Euro 2024. …