Kumekuwa na habari kuwa moja ya timu za kule Uturuki, Fenerbahce inamtamani sana nyota wa klabu ya soka ya AC Milan, M’Baye Babacar Niang na kuwa wameshatangaza kusudi la wao …
Makala nyingine
Mchana wa leo kuna mtanange mkali wa kuwania Kombe la International Champions kule dimbani National, Singapore ambao utakuwa ni kati ya Mabingwa wa Uingereza na wale Mabingwa wa Ujerumani! Katika …
Wakati ambapo kuna ripoti za klabu ya soka ya Barcelona kuwa ina uwezekano wa kumtoa Ivan Rakitic ili imsajili mpiga soka wa kimataifa wa huko Italia, Marco Verratti anayekipiga pale …
Kuna habari zikitanabaisha ya kuwa nyanda wa klabu ya Manchester City, Joe Hart ameshafuzu vipimo vya afya! Sasa ameshakamilisha usajili wa mkopo kukipiga kwa klabu ya West Ham United. Man …
Kwa mujibu wa mtandao wa Sun imeripotiwa kwamba klabu ya kule Ligi Kuu ya Uingereza, Manchester City watafanya juu chini ili kukamilisha mpango wa kumnasa beki Dani Alves juma hili! …
Ikiwa kuna tetesi za mpango wa klabu ya soka ya Real Madrid kumuwinda msakata kabumbu kinda Kylian Mbappe habari zinasema kuwa vyombo vya habari vya huko Uhispania vimetoka na ripoti …