Maswahiba wawili, Cristiano Ronaldo na Paulo Dybala walifanikiwa kuandika magoli 100 kila mmoja wakichezea Juventus hapo jana.
Juventus wakiwa nyumbani hapo jana dhidi ya Sassuolo, walifanikiwa kuchukua alama tatu huku wachezaji wao wawili, Christiano Ronaldo na Dybala wakifanikiwa kufunga magoli 100 wakichezea klabu hiyo.

Kutokana na magoli haya, Cristiano alifanikiwa kuandika rekodi nyingine ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga magoli 100 ndani ya muda mfupi pale Juventus.
Juventus ilishinda magoli 3-1, magoli yaliyofungwa na Rabiot dakika za mwanzoni na Ronaldo na Dybala waliofunga kipindi cha pili. Huu ulikuwa ni mchezo muhimu kwa Juventus endapo tu Milan wangepoteza lakini hali haikuwa hivyo.
Siku ya jana ilishuhudia timu kubwa zote za Serie A zikishuka dimbani huku kila moja ikishinda mechi yake. Kilichoteka hisia kali ni ule ushindi wa 7-0 wa Ac Milan dhidi ya Torino.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Ametisha sana anahitaji pongezi
Bado CR7 anaonyesha anataka kuendelea kucheza na kufunga magoli mengi iwezekanavyo
Hongera zao
Safi inafurahisha sana hongera
Foward hatare
Hongera zao
Wanastahili pongezi kubwa 👏👏
Hongera zao
Hongera zao
Pongezi Kwao
Safi Sana kwao
Hongera yao
Safiii
Safi
Hongera yao