Usman Khawaja: Amezikosoa Uingereza na New Zealand kwa kjiondoa Pakistani Tour

Australia batter, Usman Khawaja ameikosa uingereza na New Zealand kujitoa kwenye michezo ya Pakistani.

Usman mzaliwa wa Pakistani aliongezea kuwa anaamini maamuzi ya namna hiyo yasingechukuliwa kama michezo hiyo ingekuwa inafanyika India.

New Zealand wameondoa wachezaji wao kwa sababu ya usalama, wakati Uingereza wamefanya hivyo kupigania haki ya usawa wa wachezaji kati ya wanawake na wanaume.

Usman Khawaja alisema, “nahisi nilirahisi sana kwa wachezaji na mashirika kusema hapana kwa Pakistani kwa sababu ni Pakistani, nadhani ni sawa na Bangladesh kama lingetokea.

“Lakini hakuna angekataa kwa India hata kama kungekuwa na matatizo sawa kama ya Pakistani, pesa inazunumza, wote tunajua hilo, na nisehemu kubwa ya hili.”

Australia wanapanga kusafili kwenda Pakistani mapema mwakani, Khawaja haoni tatizo kutembelea nchi ambayo ameishi akiwa na miaka mitano.

 

“Kuna ulinzi wa kutosha ,sijasikia chochote zaidi ni watu kuwa salama.”

Hakuna mashindano ya kimataifa ya kriketi yaliofanyika Pakistani kwa miaka sita kutokana na kushambuliwa kwa timu ya taifa ya Pakistan mwaka 2009, huku Pakistani wakitumia Falme za Kiarabu kama kiwanja chake cha nyumbani.


FUNGA BAHATI YAKO NA MERIDIANBET.

Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe