Inter Milan na Man United kubadilishana Wachezaji

Klabu ya Inter Milan ipo kwenye mazungumzo na klabu ya Manchester United kwajili ya kuangalia uwezekano wa kubadilishana wachezaji ambao ni Denzel Dumfries na Aaron Wan Bissaka.

Klabu ya Mnachester United imekua ikimuwisha beki  wa Inter Milan Denzel Dumfries raia wa kimataifa wa Italia huku klabu ya hiyo ya Italia wao wakimuhitaji beki Aaron Wan Bissaka kwajili ya kufanya mabadilishano ya wachezaji ambao wote wanacheza katika nafasi ya beki wa kulia.inter milanMan United wametembea na fursa ya Nezzazuri kumuhitaji beki wao wa kulia Wan Bissaka ambapo imewarahisishia wao kuoma mi wakati sahihi wa kumpata beki Denzel Dumfries ambaye wamekua wakimuwinda kwa muda mrefu, Hivo kama mazungumzo yakienda vizuri basi wachezaji hao watajiunga na vilabu hivo viwili.

Hii imekuja baada ya klabu ya Man United kumuwinda beki Noussair Mazraoui ambaye anakipiga klabu ya Bayern Munich lakini wameonekana kuzidiwa na klabu ya West Ham, Hivo kumfanya kumgeukia beki wa huyo wa klabu ya Inter Milan ya Italia na ndio wako kwenye mazungumzo na mabingwa hao wa Italia mpaka sasa.

Acha ujumbe