Mlinzi wa klabu ya Napoli Kalidou Koulibaly amekata mzizi wa maneno kuhusu uhamisho wake wa kuondoka kwenye klabu hiyo na kusema ikiwa ataondoka kwenye klabu hiyo basi itakuwa kwa sababu ya vipengere vya mkataba wake vimemruhusu kuondoka.

Mchhezaji huyo wa kimataifa kutoka nchini Senegal amekuwa moja ya walinzi bora kwenye bara ulaya huku akivutia vilabu vingi vikubwa na kuwafanya wahitaji huduma yake na mara kadhaa amehusishwa na kuondoka klabuni hapo.

Koulibaly

Koulibaly aliambia Onze Mondial, “sitakuwa sehemu ya mabishano kwa sababu ya kutakuondoka kwenye klabu. Ikiwa nitaondoka Napoli, itakuwa kwa sababu masharti ya mkataba yamenitaka kuondoka.

“Kutakuana hakuna mabishano na nitakwenda kuongea na raisi. Amejaribu kuwasikiliza mashabiki ambao hawataki mimi niondoke na kila muda amekuwa akiweka ada ya juu.”

Koulibaly amejiunga na klabu ya Napoli kutoka Genk mwaka 2014 na haikuchukua muda kuweza kutengeneza ufalme kwenye nafasi ya ulinzi katika klabu ya Napoli na kuwa moja ya walinzi bora kwenye ligi tano bora.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa