Lautaro na Mkhitaryan Waguswa na Ushindi wa Inter Dhidi ya Monza

Lautaro Martinez na Henrikh Mkhitaryan waliguswa na ushindi wa Inter wa 2-0 dhidi ya Monza jana wakisema kuwa walilazimika kutuma ishara na wakafanya hivyo.

 

Lautaro na Mkhitaryan Waguswa na Ushindi wa Inter Dhidi ya Monza

Lautaro alihimiza ushindi wa Inter kwenye mechi yao ya kwanza ya Serie A ya 2023-24 kwa mabao mawili huko San Siro.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

“Tulicheza mchezo mzuri na ninampongeza kila mtu,” El Toro alisema katika mahojiano na tovuti rasmi ya Inter.

Lautaro na Mkhitaryan Waguswa na Ushindi wa Inter Dhidi ya Monza

“Imekuwa majira ya joto kali. Tulienda Japani, ambako kulikuwa na joto jingi, lakini tulifanya mazoezi vizuri, tukiwa tumezingatia kila mara. Nimefurahiya maandalizi. Tulilazimika kutuma ishara na tulifanya hivyo.”

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Aliongeza kusema kuwa wao ni timu kubwa, walisajili wachezaji muhimu na vijana wanaotaka kukua. Kila mtu alikuwa tayari jana. Marcus Thuram alifanya kazi nzuri, na kisha Marko akaingia na alikuwa na raha naye pia.

Lautaro na Mkhitaryan Waguswa na Ushindi wa Inter Dhidi ya Monza

Mkhitaryan pia alishiriki maoni yake kuhusu mchezo baada ya kipenga cha mwisho: “Tulianza mchezo vizuri, wachezaji wapya waliosajiliwa walithibitisha wanaweza kutusaidia. Sisi ni timu imara na lazima tuthibitishe uwanjani kuwa tunataka kushinda mataji.”

Tuna hamu kubwa. Kile ambacho hatukuweza kufikia msimu uliopita kimetufanya kuwa na njaa zaidi ya kushinda. Tuna safu ya kiungo imara, kila mmoja anastahili kuanza na kusaidia na nina imani kila mmoja ataonyesha kuwa anastahili kuichezea Inter. Alimaliza hivyo mchezaji huyo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.