Osimhen Ajibu Uteuzi wa Ballon d'Or Akisema ni Mwanzo Tu

 

Nyota wa Napoli, Victor Osimhen anahisi kuwa kuteuliwa kwa Ballon d’Or 2023 ni mwanzo tu kwani atafanya kazi kwa bidii ili kufikia ndoto zake zote.

 

Osimhen Ajibu Uteuzi wa Ballon d'Or Akisema ni Mwanzo Tu

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Nigeria ni mmoja wa wachezaji wanne wa Serie A waliojumuishwa katika orodha ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya Ballon d’Or ya Ufaransa.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

“Ninajisikia vizuri kwa mafanikio haya, ilikuwa ndoto ya utotoni kuwa miongoni mwa walio bora,” Osimhen aliwaambia Mashabiki wa Kandanda Tribe alipokuwa kwenye majukumu ya kimataifa na Nigeria.

Osimhen Ajibu Uteuzi wa Ballon d'Or Akisema ni Mwanzo Tu

Aliongezea kwa kusema kuwa ni hisia ya kushangaza kwake. Anawashukuru wale ambao wamekuwa wakimuunga mkono, familia yake, rafiki zake. Ana furaha na anaweka wakfu huo kwa Mungu. Huu ni mwanzo tuu alisema na atafanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha kwamba anatimiza ndoto zake zote.

Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Osimhen amefunga mabao matatu katika mechi tatu za ufunguzi za Serie A msimu huu na aliendelea na mahojiano yake kwa kuzungumza juu ya ukaribu na mashabiki wa Nigeria.

Osimhen Ajibu Uteuzi wa Ballon d'Or Akisema ni Mwanzo Tu

“Ni muhimu kushirikiana na wale ambao wamekuwa muhimu kwangu. Wanigeria wote wamekuwa wakiniunga mkono, katika nyakati nzuri na ngumu. Kila mtu amekuwa akiniunga mkono sio mimi tu, bali wachezaji wote wa Nigeria kote Ulimwenguni. Nilitumia likizo yangu hapa na ilikuwa muhimu kufanya hivyo.” Alisema Osimhen.

Hadhani kama amebadilika. Anataka tu kuwa na furaha na kushirikiana na watu hawa ambao wanahakikisha kuwa wako juu ya mchezo wao na kutoa bora zaidi. Ni muhimu kwake kujaribu kushirikiana nao na kuwa na furaha na kufurahia maisha.

 

Acha ujumbe