Makala nyingine

Amrabat Hauzwi

Mkurugenzi wa klabu ya Fiorentina inayoshiriki ligi kuu ya Italia maarufu kama Serie A ameeleza hawana mpango wa kumuuza kiungo wa kimataifa wa Morocco Sofyan Amrabat aliyepo klabuni hapo. Kiungo …

Gwiji wa zamani wa klabu ya Juventus Allesandro Del Piero ameonekana yupo tayari kuisaidia klabu hiyo ambayo inatafuta mrithi wa aliekua rais wa klabu hiyo Andrea Agnelli ambaye amejiuzulu nafasi …

Kiungo wa timu ya taifa ya Morocco na klabu ya Fiorentina Sofyan Amrabat avitoa udenda vilabu mbalimbali barani ulaya kutokana na uwezo wake ambao ameuonesja kwenye kombe la dunia. Kiungo …

Kiungo wa timu ya taifa ya Ufaransa Andrien Rabiot amezungumza kuhusu hatma yake ndani ya klabu ya Juventus ambaye anaitumikia mchezaji huyo kwasasa. Kiungo huyo ambaye kwasasa anaitumikia timu ya …

Klabu ya Lazio inayoshiriki ligi kuu nchini Italia maarugu kama Serie A kupitia rais wake Claudio Lotito amesisitiza kiungo wa klabu hiyo raia wa Serbia Sergej Milinkovic Savic hauzwi kwenda …

Klabu ya soka ya Napoli inayoshiriki ligi kuu nchini Italia inafiikiria kumuongeza mkataba kocha wake wa sasa Luciano Spaletti kutokana na namna ambayo anaiongoza klabu hiyo. Spaletti amefanikiwa kuitengeneza klabu …

Klabu ya Inter Milan imefanikiwa kupata alama tatu muhimu ikiwa ugenini katika dimba la Gewiss dhidi ya Atalanta baada ya kuifunga klabu hiyo kwa jumla ya mabao matatu kwa mawili …

Kiungo wa klabu ya Napoli na timu ya taifa ya Cameroon Franck Zambo Anguissa amefanikiwa kuongeza mkataba na klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu nchini Italia maarufu kama Serie A baada …

Kulingana na gazeti la La Repubblica, Kocha wa AS Roma José Mourinho anataka kumsajili Wilfried Zaha huko Roma kama mchezaji huru, lakini Real Madrid inaweza kumjaribu kocha huyo wa Ureno …

Klabu ya Juventus yazidi kung’ara huko Serie A baada ya kuendelea kuonyesha kiwango kizuri na kuwafanya wakae nafasi ya 4 kwenye msimamo Serie A baada ya kuwatandika Hellas Verona kwa …

Klabu ya AC Milan imemuongezea mkataba mchezaji wao Pierre Kalulu aendelee kusalia klabuni hapo hadi 2027 baada ya beki huyo kusaini mkataba wa nyongeza wa miaka miwili wa mkataba wake …

Klabu ya Juventus ambayo ipo chini ya Massimiliano Allegri watakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Hellas Verona ambao wapo nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa Serie A baada ya kucheza michezo …

Klabu ya Inter Milan imefanikiwa kupata ushindi wa kishindo baada ya kuifunga klabu ya Bologna kwa jumla ya mabao sita kwa moja wakiwa katika dimba lao la nymbani. Hii imekuja …

1 2 3 20 21 22 23 24 25 26 67 68 69