Makala nyingine

Mchezaji nyota wa klabu ya Juventus Paul Pogba ambaye alipaswa kufayiwa upasuaji siku ya leo jijini Lyon nchini Ufaransa umeahirishwa mpaka siku ya kesho kwa sababu ya kupata uthibitisho ikiwa …

Paul Pogba hatosafiri kwenda nchini Marekani kwaajili ya mchezo wa kirafiki wa Juventus dhidi ya Barcelona siku ya Jumanne huko Las Vegas sababu ya kukabliwa na jeraha la paja. Mchezaji …

Klabu ya Napoli inayoshiriki ligi kuu ya Italia Serie A imepinga taarifa zilizosambazwa na vyombo vya habari nchini humo kuwa klabu hiyo imeuzwa. Vituo kadhaa vya runinga nchini humo vikiongozwa …

Mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Argentina Amejiunga rasmi na klabu ya Roma kwa uhamisho huru na kusaini kandarasi ya miaka mitatu huku kukiwa na kipengere cha thamani ya €20milion kwa …

Paulo Dybala amesaini kusaini mkataba wa miaka mitatu na klabu ya Roma baada ya mkataba wa mchezaji huyo na Juventus kufika tamati. Roma wamezibwaga klabu za Inter na Napoli kuinasa …

Mabingwa wa nchini Italia Serie A wamekamilisha usajiri wa mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji Divock Origi kutoka klabu ya Liverpool kwa uhamisho huru. Divock Origi ameondoka nchini Uingereza baada ya …

Klabu ya Inter Milan imekamilisha usajiri wa mchezaji wa kimataifa wa Armenia Henrikh Mkhitaryan kutoka klabu ya AS Roma ambapo kiasi kilichotumika kwenye usajiri huo hakijawekwa wazi. Henrikh Mkhitaryan amekuwa …

Klabu ya Inter Milan imethibitisha kumalizana na klabu ya Chelsea kufanikisha uhamisho wa Romelu Lukaku kwa mkopo wa muda mrefu ambapo kiasi cha  €8.5milioni kimetumika kukamilisha uhamisho huo. Romelu Lukaku …

Klabu ya AS Roma na Barcelona walipanga kucheza kwenye mashindano ya Joan Gamper mwaka huu kwenye kipindi cha pre season ambapo walipanga kucheza August 6 kwenye dimba la Camp Nuo …

Kiungo nyota aliyekuwa anakipiga kwenye klabu ya Manchester United amejiunga rasmi Paul Pogba amejiunga rasmi na klabu ya Juventus kwenye dirisha hili la usajiri kwa uhamisho huru baada ya kumaliza …

1 2 3 23 24 25 26 27 28 29 67 68 69