Makubaliano ya pamoja ya kusitisha mkataba wa Pogba yanaonekana kama chaguo bora na suluhisho kwa mchezaji na klabu yake ya Juventus.

Mazungumzo yataanza kesho baada ya uamuzi wa mwisho wa CAS kwani Paul atafanya mazoezi kuanzia Januari na kisha kucheza kuanzia Machi mwakani 2025.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Pogba anataka tu kucheza soka na kurejea kufanya kile anachopenda, akihisi mwanzo mpya utakuwa bora zaidi.



