Ripoti nyingi zinadai kuwa kocha wa Juventus Massimiliano Allegri atasalia kuinoa timu hiyo hadi mwisho wa msimu huu, akimuacha Bibi Kizee huyo majira ya joto.
Allegri amebakiza mwaka mmoja katika kandarasi yake kwenye Uwanja wa Allianz, lakini matokeo mabaya ya hivi majuzi yametia shaka mustakabali wake.
Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.
Hata kama vyombo vya habari vya Italia, ikiwa ni pamoja na Tuttosport na Gazzetta, vinathibitisha kuwa Juventus hawafikirii kumfukuza kocha katikati ya msimu, vyanzo vingi vinasema Bianconeri na Max wataachana katika majira ya joto.
Mtaalamu wa Juventus Romeo Agresti anabainisha kuwa ‘hesabu’ kuelekea kumuaga Allegri imeanza hata kama mtaalamu huyo wa Kiitaliano si tatizo la Juventus pekee.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Hata hivyo, gharama ya Allegri na wafanyakazi wake ni jumla ya €20m kwa hivyo Juventus lazima wakae chini na kocha wao kufahamu hatua zinazofuata na makubaliano ya kifedha ikiwa wataamua kuachana.
Rasmi, Giuntoli amekariri kuwa Juventus wanamtegemea Allegri na wanataka kuendelea naye zaidi ya msimu wa joto.