JKT Queens Waibuka Mabingwa CECAFA 2025

Rasmi sasa Mabingwa wa soka la wanawake Tanzania, JKT Queens, wameandika historia nyingine kubwa ya kuvutia baada ya kutwaa taji la Mashindano ya CECAFA Women’s Championship 2025.

Mabingwa hawa wa CECAFA ndio timu pekee nchini Tanzania iliyofanikiwa kutwaa hili taji mara mbili tena ikiwa kwenye ardhi ya ugenini, wakiwaacha nyuma wenzao wa Simba waliofanikiwa kutwaa taji hilo mara moja.

JKT Queens Waibuka Mabingwa CECAFA 2025

Katika mchezo wa fainali uliofanyika jana dhidi ya Rayon Sports ya Rwanda, mabingwa hao walionesha ubora wao kwa kushinda bao 1–0. Goli la pekee la JKT Queens lilifungwa na Winnie Gerald.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Kwa ushindi huu sasa rasmi JKT Queens wamefanikiwa kufuzu kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika ya Wanawake (CAF Women’s Champions League) wakiwa wawakilishi rasmi wa ukanda wa CECAFA.

JKT Queens Waibuka Mabingwa CECAFA 2025

Pia mfungaji bora wa mashindano hayo ametoka ndani ya klabu ya Jkt Queens Jamila Rajabu , aliyefunga magoli matano (5). Huku Donisia Minja aliibuka Mchezaji Bora wa Mashindano hayo na kipa Najiath Idrisa aliibuka kipa bora wa mashindano.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.