Klopp,"City Wana Cha Kudhihirisha Mbele Yetu."

Boss wa Liverpool Jurgen Klopp amekiri kuwa wapinzani wao katika ligi Machester city watakuwa na kitu cha kudhihirisha leo licha ya kuwa tayari Liverpool wamekwisha chukua ubingwa wa ligi hiyo.

Mchezo huo utakao wakutanisha wababe hao katika uwanja wa Edihad utakua ni katika michezo saba iliyosalia katika kukamilisha ligi kuu ya Uingereza.

Boss huyo wa Livepool alinukuliwa na Sky Sport alipoulizwa kama manchester city wangehitaji kupata matokeo mbele yao,”Ndio, ingelikua ni mimi ningetafuta njia yoyote kupata matokeo.

“Nadhani tukikuwa katika hali kama hii mwaka mmoja au miwili iliyopita tulipomfunga city goli 4-3 na walikuwa hawajafungwa mpaka muda huo.

“sidhani hata kwa sekunde moja milisema tutakua wa kwanza lakini tulihitaji kushinda mchezo ule,kuhakikisha hata kama wako alama 20 zaidi yetu bado tungewapa mchezo mzuri.

“Sihitaji mchezo wowote kuweza kujua city wanaweza kufanya hivyo.Najua hilo kabla, mchezo utakua mgumu kwa timu zote.Utakua mchezo mzuri..”

Katika michezo saba iliyopita waliyokutana katika mashindano yote Livepool ameshinda mara nne,Manchester city mara moja na kutoka sare mara mbili tangu january mwaka 2018.

Matokeo hayo yanaipa Liverpool nafasi kubwa ya ushindi,katika mara mbili city alizokua nyumbani amefanikiwa kushinda mchezo mmoja na kupoteza mmoja.

 

37 Komentara

    Ndan ya dk 90 tutapata majb

    Jibu

    Klopp anajiamini sana sasa hivi duuu ni hatari#Meridianbettz

    Jibu

    Mchezo huu utakua mgumu sana upande wa man city kwa sababu watakosekana wachaji wazuri kama Aguero ambae ni majeruhi

    Jibu

    Mtanange huu utakuwa na ushindani wa hali ya juu Nina Imani Liverpool hawatokubali kupata aibu

    Jibu

    Mpila kiwanjani leondio leo mpaka dakika 90 kihereweke

    Jibu

    Mziki mwingine city hawezi poteza mchezo mara mbili mfululizo atakomaa na liverpool licha ya kuwa na majeruhi ya aguero pia fernandinho kwa adhabu ya kadi nyekundu aliyopewa katika mchezo wa Chelsea pia kucheza game hii kutokuwa na sane ambaye anaitaka kuoana klabu hiyo na kwenda kujiunga na miamba ya Ujerumani licha kuwa game ngumu kwa ubaadhi wa city ila bado jogoo wanaweza kutaga pale etihadi,game ngumu kwa upande wote lolote litatokea

    Jibu

    Bado mapema sana kujiandaa vilivyo ingawa kwa man city watakuwa wagumu kwa sababu tu ya kupoteza game yao ya nyumbani ingawa wana majeruhi Liverpool wanakibarua cha kuendelea kuwachakaza wapizani wao na ukizingatia ni fainal hivyo sio rahisi timu kukubali kushindwa kiuzembe.

    Jibu

    Hapo dk90 ndiyo musema ukweli tutajuwa bigwa Nan?

    Jibu

    Dahhh sawaaaa

    Jibu

    Sihitaji mchezo wowote kuweza kujua city wanaweza kufanya hivyo.Najua hilo kabla, mchezo utakua mgumu kwa timu zote.Utakua mchezo mzuri

    Jibu

    Tunasubilia tuone dakika 90

    Jibu

    kauli inaashilia jambo hiyo …hatujali kuwa tumechukua kombe but tunahitaji kuendelea kuwa team ya viwango vya juu …YNWA

    Jibu

    Klopp asiongee sana asubir dk 90

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Habari mjema

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Maoni:klopp asiongee sana tunataka kuona mpira leo bingwa bingwa tu liverpool wanatakiwa kujenga heshima dhidi ya ubingwa wao.

    Jibu

    Tunasubili tuone nani atakuwa mshindi.

    Jibu

    Tunasubili matokeo

    Jibu

    Dk 90 ndizo zitakazo amua nani atatoka kichwa chini au kifua mbele

    Jibu

    Kocha mwenyew kaon km game itakua taf sanaa

    Jibu

    Mpira dakika 90 lolote linaweza tokea klopp asianze maneno.ya shombo kabisa city sio timu ndogo kama ilivyo aston villa labda Newcastle na timu zingine anaweza akatiwa aibu na pep vile vile

    Jibu

    Tunasubiri tuone

    Jibu

    Ndani ya dakika 90 tutapata majibu

    Jibu

    Man City watataka kuwatibulia sherehe zao za ubingwa kamwe hawatalegeza kabisa

    Jibu

    Tunasubili tuone jeshi atakuwa nan?

    Jibu

    kweli wamedhihirisha kwa klopp

    Jibu

    Klopp anajiamini ndiyo maana hata timu yake inazidi kungaraa#meridianbett

    Jibu

    Hapo ni 3plus #meridianbett

    Jibu

    Man City anashinda kwa 3+

    Jibu

    hii game imenipita

    Jibu

    n kwel kama ubingwa washachukua

    Jibu

    Majibu yamepatikana

    Jibu

    Ni kweli ubingwa walichukua Liverpool lakini hisiwe vitisho kwa kila timu pizani wanayokutana nayo mpira uchezwe tu tutaona matokea

    Jibu

    Kweli wamedhihirisha hilo city

    Jibu

    Tunasubiri tuone

    Jibu

    Ngoja tujionee wenyewe

    Jibu

Acha ujumbe