Simba ililazimika kufanya sub za lazima ndani ya dakika 30 za Mchezo, Mzamiru alitoka akaingia Bernard Morrison, ili kuutanua uwanja na kuongeza mashambulizi
Simba
Onyango
Alitoka tena Thadeo Lwanga na Joash Onyango kutoka na majeraha yao, hapo maana yake sub tatu zimetimia, Wakali hao wa Msimbazi hawakuweza kumaliza sub mbili za ziada kutimiza sub tano

Kwanini? Ni kwakuwa sub tano ni lazma zifanyike kwa awamu tatu mkupuo, hivyo Simba kwenye Plan B game yao iliisha dakika ya 30 tu

Simba
Benard Morison
Meddie Kagere hakuingia, Rally Bwalya hakuingia, tactically watoto wa Didier Gomez walitembelea kwenye beat moja kwa dakika zaidi ya 70, nini kingetoka kama wangemaliza sub zao mbili, inasalia kuwa fumbo

Kuna athari kubwa Kiufundi kufanya sub ambazo sio za lazma kiufundi, lakini hawakuwa na namna kutokana na majeruhi ya wachezaji


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa