Morata Hafai Kwenda Atletico -Schuster

Msakata kabumbu wa zamani ambaye kwa sasa ni meneja wa DL  Yifang Bernd Schuster anaamini kuwa Alvaro Morata sio aina ya mchezaji ambaye anatakiwa kwenda Atletico Madrid.

Morata ambaye anacheza kama mshambuliaji anatarajiwa kusepa klabuni hapo kabla dirisha hili la uhamisho halijafungwa, huku klabu hii inayoshiriki ligi kuu y a uingereza wakimsaini Gonzalo Higuain kwa mkopo akitokea kule Juventus.

Bosi wa Chelsea, Maurizio Sarri alisikika wiki hii akisema kuwa Morata aliitarifu klabu kuwa alikuwa anataka kusepa ikiwa ni miezi 18 tu toka alipoingia klabun i hapo akitokea kule Real Madrid kwa ada inayotajwa kuwa paundi milioni 600.

Wakati nAtletico wakionesha nia ya kutaka kumsainisha nyota huyu, Bernd Schuster yeye anaamini kuwa nyota huyu hakupaswa hata kuhama kutoka Real madrid kuingia Cheslsea,anatafsiri kmuhama kwa nyota huyu kkwenda Atletico kama sio busara.

“Nimeshangazwea na ujio wa Morata pale (Atletico). Sielewi jkama ni timu sahihi kwake. Nafikiri Morata hakuwa sawa kusepa Real Madrid. Hakuwa mvumilivu.”

Acha ujumbe