Nyumbani Football National Teams

National Teams

Sofiane Lokar wa Algeria Afariki Akiwa Uwanjani

Sofiane Lokar wa Algeria Afariki Akiwa Uwanjani

0
Mchezaji wa kimataifa wa Algeria, Sofiane Lokar amefariki dunia baada ya kupata mshtuko wa moyo uwanjani alipokuwa akicheza siku ya Krismasi. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 alizimia akiwa na kikosi cha timu ya daraja la pili ya Algeria,...
2021 Mwaka Mgumu kwa Sergio Ramos

2021 Mwaka Mgumu kwa Sergio Ramos

0
Mwaka 2021 hakika ni mwaka ambao beki kisiki Sergio Ramos hatousahau kutoka ulivyoanza mpaka unavyoisha kwa mambo yaliyomtokea. Mwezi Januari ilionekana kama kuwa na neema baada ya Real Madrid kuonyesha dalili za kumpa makataba mpya na kwenda na timu ya...
Pele Arudishwa Tena Hospitali Lakini Hali si Mbaya

Pele Arudishwa Tena Hospitali Lakini Hali si Mbaya

0
Gwiji wa soka ulimwenguni Pele amelazwa hospitalini kufanyiwa matibabu ya uvimbe kwenye utumbo mpana, lakini hali yake si mbaya na anaendelea vizuri. Mshindi huyo mara tatu wa Kombe la Dunia alihitaji upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye utumbo mpana mwezi Septemba...
Ronaldo

Ronaldo Vilabu vya Uingereza na Amerika ni Ghali Sana

0
Mshambuliaji wa zamani wa taifa la Brazil Ronaldo De Lima alisema kuwa kabla ya kwenda Hispania kununua klabu ya Real Valladolid, alitaka kununua klabu kwenye ligi ya Uingereza Championship na MLS ya Marekani. Ronaldo ametumia karibia miaka 20 kwenye soka...

‘Goal Machine’ Ronaldo Afikisha Mabao 800

0
Cristiano Ronaldo amefikisha alama nyingine ya kihistoria hapo siku ya jana baada ya kufunga bao la 800 katika maisha yake ya soka. Hatua hiyo ilifikiwa na mechi dhidi ya Arsenal - Marcus Rashford akimpasia mpira kwenye miguu ya nguli huyo...
Kwanini Messi Alistahili Ballon d'Or 2021 na Siyo Lewandowski?

Kwanini Messi Alistahili Ballon d’Or 2021 na Siyo Lewandowski?

0
Mshambuliaji wa PSG Lionel Messi aliibuka na ushindi wa tuzo ya Ballon d'Or ya mwaka 2021 na kumpiku straika wa Bayern Munich Robert Lewandowski ambaye alishika nafasi ya pili kwenye kinyang'anyiro hicho. Messi ambaye amejipatia tuzo hiyo kubwa kwa mara...
Droo ya Mechi za Mtoano Kufuzu Kombe la Dunia ni Leo Hii

Droo ya Mechi za Mtoano Kufuzu Kombe la Dunia ni Leo Hii

0
Baadhi ya mataifa tayari yamefuzu kushiriki kombe la Dunia 2022 nchini Qatar lakini kuna mataifa bado yanaendelea kusaka nafasi hiyo miongoni mwa mataifa hayo ni pamoja na Portugal, Italy Poland na mengine. Sasa droo inachezeshwa leo hii Novemba 26 na...

Messi: Siku Moja Nitarejea Barcelona

0
Mchezaji wa kimataifa wa Argentina Lionel Messi amesema kwamba siku moja angependa kurejea tena katika klabu ya Barcelona baada ya kuachana na timu hiyo wakati wa dirisha la usajili lililopita na kujiunga na PSGkwa uhamisho wa bure kufuatia mkataba...
Timu ya taifa ya Uruguay imemfuta kazi aliyekuwa kocha mkuu wao Oscar Tabarez baada ya kuitumikia kwa muda

Uruguay Wamtimua Kocha wao Tabarez

0
Timu ya taifa ya Uruguay imemfuta kazi aliyekuwa kocha mkuu wao Oscar Tabarez baada ya kuitumikia kwa muda wa miaka 15. Kocha huyo wa miaka 74 alirejea Uruguay kwa mara ya pili mwaka 2006 baada ya kuwahi kufanya kazi na...
Chelsea Wanamtaka Gavi Darajani

Chelsea Wanamtaka Gavi Darajani

0
Staa wa Barcelona Gavi Baada ya kuonyesha kiwango cha kuvutia akiwa na Barcelona na timu ya taifa ya Spain sasa kiungo huyo ameripotiwa kuhitajika na klabu ya Chelsea ya ligi ya Premia. Chelsea wameonyesha nia yao ya kutaka kumsajili kinda...

MOST COMMENTED

Marsch Achaguliwa Kuwa Kocha wa Leipzig Msimu Ujao

19
RB Leipzig imethibitisha kumchagua Jesse Marsch kuwa kocha mkuu mpya baada ya kuondoka kwa Julien Nagelsmann kwenda Bayern Munich. Nagelsmann ameachana na Leipzig na kutimkia...
Soka

Mapacha Wanaocheza Soka

HOT NEWS