Naomi Osaka Ajiondoa French Open 2021

Mwanadada mcheza tennis namba mbili kwa ubora duniani Naomi Osaka amefikia hatua ya kujiondoa kwenye mashindano ya French Open kwa madai ya kuwa vyombo vya habari vinamuharibu kiakili.

Wiki moja iliyopita,  Naomi Osaka alitangaza kujiondoa kwenye masuala yote ya habari kutokana na ukweli kwamba wanapotoka kwenye mechi, kuongea na wanahabari kunawafanya wakose kujiamini au kuteseka kisaikolojia.

Juzi Naomi Osaka alipigwa faini ya dola 15000 kutokana na kutojitokeza katika mazungumzo na wanahabari baada ya mchezo wake na baadae aliandika ujumbe mrefu katika kurasa zake za kijamii akieleza kujiondoa.

“Kitu kizuri kikubwa katika mashindano, kwa wachezaji wengine na afya yangu nimeamua kujiondoa ili kila mtu aweze kuanza kuangalia rasmi mchezo wa tennis Paris“, iliandika twita ya mwanadada huyo.

Naomi Osaka aliomba radhi pia kwa waandaaji wa shindano hilo na wale wanahabari wastaarabu waliothamini mchezo wake na anaamini ni wakati sahihi wa yeye kuchukua Tour aende kutuliza akili yake.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

3 Komentara

    Sa itakuaje

    Jibu

    Duhhh

    Jibu

    Kwanini Naomi?

    Jibu

Acha ujumbe