Pogba 'Hawezi Kuwa na Furaha Man United'

Mchezaji nyota wa Manchester United – Paul Pogba anaendelea kuwa gumza kunako ulimwengu wa soka. Kocha wake wa timu ya Taifa ya Ufaransa amesema ya moyoni.

Didier Deschamps amenukuliwa akisema Pogba “hawezi kuwa na furaha” kwa hali yake ndani ya Manchester United. Wakati huu ambao Paul amehusika kwenye michezo 11 ya Man United akicheza michezo 5 pekee mpaka sasa.

[Pogba] yupo kwenye hali ambayo hawezi kuwa na furaha ndani ya klabu yake, sio kwa muda anaopewa kucheza au nafasi anayopewa uwanjani.

“Hayupo katika ubora wake. Alikuwa na majeruhi lakini pia aliugua COVID19 ambayo ilimsumbua sana, anahitaji muda kurudisha ubora wake.

“Kwa upande wangu hakuna tatizo kama hilo. Mchezaji akiwa hanafuraha kwenye klabu yake, atakuwa na furaha kuitumikia timu ya Taifa ya Ufaransa.

“Atanieleza anavyojisikia na kama ninavyomfahamu vizuri, itakuwa na matokeo chanya.” Alisema Deschamps.

Ufaransa watakuwa uwanjani kucheza michezo mitatu dhidi ya Finland, Portugal na Sweden.


UMEJARIBU HII POKER YA VIDEO?

Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!

Meridianbet Casino

INGIA MCHEZONI!

23 Komentara

    Duuu Kumbe nae Corona imesha mkuta daa ndo mana anacheza chini ya kiwango kama Chama

    Jibu

    Corona hatari sana

    Jibu

    Deschamps yupo sahii ni kweli pogda hamepoteza muelekeo wake ule wa zamani

    Jibu

    kakaa nje ya uwanja kwa kipindi kirefu sana ata muelekeo wake kimpira umeanza kupotea

    Jibu

    Pogba inabidi ukubaliane na Kila hali

    Jibu

    Pogba kilichopo angalia kazi na maslai ili utimize ndoto yako

    Jibu

    Maslah kwanza

    Jibu

    Pogba uwezo wake umepungua

    Jibu

    Pogba rudi kaka kwenye hali kama ya zamani kupitia kwenye changamoto ni mojawapo ya mitihani inabidi uweimara kurudisha imani kwa mashabiki zako na kocha wako

    Jibu

    Pogba saiz kiwango chake kimeshuka ndiomaana wanampunguza kwenye baadhi ya mechi

    Jibu

    Pogba kiwango kimeisha

    Jibu

    Pogba mi namkubali

    Jibu

    Pogba anataka kusepa ndani ya united ni kwl Hana furaha ndani ya kikos cha united

    Jibu

    Asante kwa taarifa meridianbet

    Jibu

    Asantee kwa taarifa

    Jibu

    Maajab yamemuishia aende atakapokua na furaha

    Jibu

    Pogba akili yake yote ipo madrid tu

    Jibu

    Pogba sijui anawaza nini

    Jibu

    Pogba pigs mpira man u chama kubwaa

    Jibu

    Pogba kasha choka man u

    Jibu

    Kapachok na ndoman maajab Ana na furah pia anakosa!

    Jibu

    Pogba kiwango kimeshuka kwa sasa

    Jibu

    Pogba alikuwa zamani,kwa sasa hana jipya

    Jibu

Acha ujumbe