Ole Gunnar Solskjaer na Waandishi Wa Habari

Ukimtazama kwa umakini, Ole Gunnar Solskjaer anavinasaba vya Sir Alex Ferguson katika kufanya mahojiano na waandishi wa habari.

Katika mikutano yake na waandishi wa habari, Solskjaer ni kocha ambaye amekuwa akionesha tabasamu muda wote huku akijibu maswali ambayo kwa kiasi kikubwa anaonekana kama aliyajua yapo kwenye orodha za waandishi wa habari.

Leo katika mkutano wake na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa Manchester United dhidi ya Westham United. Solskjaer ameweka wazi maumivu na huzuni waliyoipata kwa kupoteza mchezo wa nusu fainali ya Kombe la FA dhidi ya Chelsea.

Lakini pia amezungumzia kwa ufupi maneno yanayozungumzwa dhidi ya David De Gea na hatima yake ndani ya kikosi cha Manchester United.

Solskjaer amesema ” Unapopoteza mchezo unaumia na kuhuzunika lakini unapaswa kuangalia yanayofuata. Kufungwa sio mwisho wa dunia, na sasa ni kazi kama kawaida tukiangalia zaidi mchezo unaofuata. Tumepitia changamoto nyingi kama klabu, tumepoteza michezo muhimu lakini tuliweza kuinuka. Hivyo ndivyo tunavyotakiwa kufanya hivi sasa”

Akiongelea umuhimu ya kushiki Michuano ya UlayaUEFA. Ole Gunnar Solskjaer amesema ” Unahitaji kushiriki michuano mikubwa kila mara, hilo linavutia lakini Manchester United inavutia zaidi. Kila mtu anaona tupo kwenye uelekeo mzuri, binafsi ninaona hivyo”

Akizungumzia kwa ufupi sana sakata la David De Gea, Ole Gunnar Solskjaer amewaambia waandishi ” David anauelewa mkubwa wa kutambua kazi yake ni kujiandaa kikamilifu kwenye mazoezi na kufanya vizuri kwenye mechi inayofuata. Kazi yangu ni kuiandaa timu kwa ajili ya mechi dhidi ya Westham United. Kazi yenu waandishi ni kuongelea na kuandika kuhusu mambo haya, hatujaja hapa kumuongelea mtu mmoja na lengo letu sio kuwaweka watu katika wakati mgumu”

Manchester United watakuwa uwanjani jumatano hii kumenyana na Westham United katika uwanja wa Old Trafford, pointi 3 zitaisaidia Manchester United katika kutimiza lengo lao la kushiriki michuano ya UEFA msimu ujao.

 


Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.

SOMA ZAIDI 💰

48 Komentara

    Mpira hauna mwenyewe.

    Jibu

    Ole lazima awe na vina saba vya sir furgie maana hajakulia mikononi mwa kocha mwingine

    Jibu

    Duuh

    Jibu

    Axante kwa taarifa hii

    Jibu

    Makala bomba Sana.

    Jibu

    Mmh

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Ole kaza uefa champion inanukia baba

    Jibu

    Saf kabx

    Jibu

    Wachezaji wa Man U wanatakiwa kupambana vya kutosha ili kulinda heshima ya Solskjaer

    Jibu

    Nic

    Jibu

    Taarifa imeeleweka hiyo

    Jibu

    Gud information 👍

    Jibu

    Asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Kwa unaofuatilia mpira tunamtambua kuwa kocha wa Manchester United ole gunner solskjaer now ameshaanza kuingiwa na Iman ya uoga sana kwan matarajio yake ambayo alihisi kuwa yuko vzur yamezimwa ghafla na Chelsea pale old Trafford ni uwanja wa kukaja dah sorry kwa kuchanganya lugha n uwanja wa nyumban hivyo bas inahitaji ajipange vzur

    Jibu

    Habari nzuri sana

    Jibu

    Pole yao united ndio Moira huo

    Jibu

    Maoni: asante kwa makala nzuri

    Jibu

    Makala bomba

    Jibu

    Ole gunnar anatakiwa atengeneze timu ili iwe ya ushindani kwa timu kubwa

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Asanteni kwa makala.

    Jibu

    Ole n muelewa sana na mungu atamjalia na kufanikisha hilo

    Jibu

    Duuh!

    Jibu

    Upendo wa Aston villa kwa man u ni wa kiwango cha rami leo

    Jibu

    duuh#meridianbettz

    Jibu

    Yan kocha Solskjaer anaoneka kuvujika moyo ila hawezi kuwaonyesha wachezaji wake wala mashabiki anatakiwa kupambana vilivyo .katika mchezo ambao Manchester united watacheza na west ham wakipoteza tena itakuwa wanazidi kumjengea uzio Chelsea .

    Jibu

    Makala nzuri

    Jibu

    Makala iko bomba

    Jibu

    Makala nzuri

    Jibu

    Lazima hiume kukosa kitu hambacho hulikua na matarajio nacho kocha kama kocha hawezi kuonesha maumivu yake mbele ya wachezaji kinacho takiwa kujipanga na mchezo zidi ya west ham ili kutimiza point 3 zitakazo saidia kutimiza lengo lao la kushiriki michuano ya UEFA msimu ujao

    Jibu

    Wakazane sana man ili waweze kusonga mbele#meridianbett

    Jibu

    kajibu maswali vizuri sana

    Jibu

    Makala mazur

    Jibu

    Good news

    Jibu

    imeisha hiyo

    Jibu

    Ole yupo vizuri na muelewa cha msingi akaze buti man u iwe ya kiwango kile cha zamani

    Jibu

    Kweli mpira hauna mwenyewe

    Jibu

    Asante kwa taarifa Meridianbet

    Jibu

    Good news

    Jibu

    asante kwa taarifa

    Jibu

    Ole amekomaa kiuongozi#meridianbettz

    Jibu

    Makala nzuri

    Jibu

    Habari njema Sana kwetu mashabiki

    Jibu

    Duuuuh hatari

    Jibu

    ole anajua kukela mechi ya ushindi katupa droo

    Jibu

    Duuh#Meridianbettz

    Jibu

Acha ujumbe