Makala nyingine

Ronaldo ni Yule Yule!

Ligi Kuu ya Italia imeendelea kwa mchezo ambao ulikuwa ukisubiriwa na wengi kutokana na usajili ambao klabu hizo mbili za jiji la Italia zilioufanya. Wengi walikuwa wakisubiri kuona nini kitatokea …

Fununu za Soka

Klabu za Manchester United na Inter Milan zimefungua faili kwa mara nyingine juu ya usajili wa nyota wa klabu ya United na raia wa Chile ambapo Inter nia yao ni …

Neymar ametawala vichwa vya habari toka dirisha la uhamisho lilipofunguliwa. Nyota huyu amekuwa akitamani kuondoka klabuni PSG na kurejea klabu yake ya zamani ya Barcelona. Hata hivyo, suala la uhamisho …

Kuelekea debi kali kabisa Italia kati ya Lazio na mahasimu wao Roma, mashabiki wa Lazio wametangaza mgomo kushinikiza klabu kuchukulia uzito suala la kuuwawa kwa shabiki wao. Taarifa zilizobamba katika …

Bosi wa Lazio Simone Inzaghi ametoa tambo zake kuelekea debi dhidi ya wapinzani wao wa jiji Roma. Meneja huyu ametamba kuwa wao ndiyo wapo kwenye nafasi nzuri ya kushinda mechi …

Aliyekuwa nyota wa Manchester Romelu Lukaku ameamua kurudisha makombora kwa legendari wa Man United Garry Neville baada ya kumtaja staa huyo kuwa hayupo kikazi na amekuwa mzito kupitiliza. Nyota huyu …

Makundi ya Europa

Baada ya kupangwa kwa makundi ya klabu bingwa huko Monaco kulikaliwa pia mwendelezo wa kupanga makundi mengine ya Europa ambapo kila klabu ilijua nani wa kukutana naye kwenye kinyang’anyiro hicho …

Mzimu wa Luiz!

Mchezaji mpya huyo ambaye amejiunga kutoka Chelsea katika usajili ambao ulikuwa wa haraka na ulishtua wengi ameweza kuingia tu kikosini na kuaminiwa kupewa namba katika mechi kubwa ambayo klabu yake …

Klabu ya Manchester United watakuwa tayari kumuachia nyota wao raia wa Chile, Alexis Sanchez endapo watapata matokeo ya kuridhisha juu ya suala zima la afya ya nyota wao ambaye wanategemea …

Moto wa UEFA Kuanza…

Michuano ya klabu bingwa ipo mbioni kuanza kuunguruma ambapo klabu mbalimbali zitaanza kuumana kwa kasi ya ajabu ili kuweza kutafuta nafasi ya kucheza michuano hiyo kwa siku za baadaye ambapo …

Van Dijk Ang’ara

Nyota na mchezaji wa klabu ya Liverpool, Van Dijk amefanikiwa kunyakua tuzo za mchezaji bora wa madhindano yote ya UEFA ambapo alikuwa akishindanishwa na watangulizi wake katika tuzo hiyo yenye …

Fununu za Usajili

Klabu ya Manchester United ipo mbioni kuwasiliana na klabu ya Leicester City ili waweze kuwauzia mchezaji mwingine mara baada ya usajili wa Maguire kufanikiwa kama walivyotarajia. United wanamtaka James Morrison …

MAKOCHA ndani ya timu au kikosi fulani huwa ni chachu ya kuwavutia wachezaji wengi sana kuweza kujiunga pindi klabu husika inapoangalia namna ya kuufanya usajili wao katika harakati za kuimarisha …

Madrid wanaonekana wamedhamiria kwa kiasi kikubwa kutibua dili la Barcelona juu ya usajili wa moja ya nyota wao kuelekea katika viunga vya Wakatalunya hao. Inaonekana kwamba ujumbe wa matajiri hao …

Gerald Pique anasema itapendeza sana kama nyota wa PSG, Neymar atarejea klabuni hapo baada ya kusepa kwa dau la kuvunja rekodi paundi milioni 222 miaka miwili iliyopita. Wakati Neymar akiwa …

“Kama Manchester United wakinihitaji, nipo hapa” -Zlatan Ibrahimovic Nyota wa klabu ya LA Galaxy, Zlatan Ibrahimovic anatamani kurejea kwenye Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kupambana vyema kwenye MLS. Nyota …

Klopp Awashukia Walinzi

KOCHA wa klabu ya Liverpool ameamua kuyaweka wazi mapungufu ya upande wa safu yake ya ulinzi akisema kuna tofauti kubwa sana anaiona upande huo ambao kwa kiasi kikubwa ndiyo muhimili …

Fununu za Soka

Nyota wa klabu ya Barcelona aliyesajiliwa kutoka klabu ya Bayern Munich, Artuto Vidal akiwa ndani ya klabu ya Barcelona kuna kitu amekiongeza katika mechi alizopata kuzicheza uwanjani hapo akiwa na …

1 2 3 881 882 883 884 885 886 887 937 938 939