Makala nyingine

Winga wa Man city Leroy Sane mwenye umri wa miaka 22 ameshauriwa kubadili tabia yake ili aweze kupata nafasi na kufanya vizuri. Sane alijiunga na Man City mwaka 2016 akitokea …

Staa wa soka kutoka Barcelona, ambaye ametemwa katika kinyang’anyiro cha mchezaji bora wa FIFA Lionel Messi amezitaja klabu anazoamini ndio kubwa zaidi duniani. Mesi amezitaja timu yake ya Barcelona na …

Bingwa mtetezi kwenye michuano ya tenisi ya US Open Rafael Nadal, ameendelea kukonga nyoyo za mashabiki wake kwa ushindi dhidi ya Dominic Thiem. Mechi yao inadaiwa kuwa ndefu zaidi kwa …

Msakata kabumbu mshambuliaji wa klabu ya soka ya Barcelona ambaye ana umri wa miaka 31 raia wa Argentina, Lionel Messi amesema kwamba yeye alishangazwa sana na maamuzi ya mshambuliaji mwenye …

Klabu ya soka ya Manchester United haijakubaliana kuhusiana na mkataba mpya wa kumzuia mchezaji mshambuliaji wake, Anthony Martial mwenye umri wa miaka 22 kwa sasa kusepa klabuni hapo iliyopo Old …

Mkurugenzi wa Barcelona bwana Ariedo Braida amewapiga mkwara Inter Millan kuwa wasitegemee mteremko wowote katika kundi lao kwenye Ligi ya mabingwa Ulaya.  Inter Millan na Barcelona wamepangwa katika kundi moja …

Mourinho alitoka akitabasamu baada ya kupata ushindi wa bao 2-0 dhidi ya mwenyeji wake Burnley kwenye dimba la Turf Moor. Macho ya wadau wengi wa soka yalikuwa yakimtazama Mourinho kujua …

Modric na Ronaldo wamekutana tena katika kinyang’anyiro cha mchezaji bora wa FIFA. Ronaldo ambaye alikosa tuzo ya mchezaji bora UEFA ambayo ilienda kwa Modric, ameingia katika tatu bora na mpinzani …

Kesi iliyokuwa katika mezani ya FIFA kuhusu utaratibu uliotumika na Inter kumfukuzia Luka Modric inadaiwa kufungwa. Kwa mujibu wa chanzo cha habari za michezo cha kiitaliano Calciomercato madai hayo yamefungwa …

Straika wa Monaco Muitalia Pietro Pellegri amechomolewa rasmi katika kikosi cha timu ya taifa ya Italia katika mechi mbili zijazo. Pietro Pellegri alipata wito katika kikosi cha timu hiyo kwa …

Meneja wa Man United, Jose Mourinho ndio anayegonga vichwa vya habari za soka kwa sasa. Mourinho ambaye anadaiwa kuwa kikaangoni tokea alipopoteza gemu dhidi ya Briton,  na kukosa bahati zaidi …

Kiungo wa Chelsea, Eden Hazard anasema anafurahia kupiga soka katika timu yake chini ya uongozi wa Maurizio Sarri. Hazard alijiunga na Chelsea Julai 2012 akiwa antokea LOSC lille, anamsifu sana …

1 2 3 985 986 987 988 989 990 991 994 995 996
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.