Phil Foden na Reece James waliwahi kua kwenye vita nzito mwaka 2014 wote wakiwa katika timu za vijana kwenye vilabu vya Manchester City na Chelsea na leo wanaenda kumaliza vita yao jijini Porto Ureno kaika Fainali za Klabu Bingwa Ulaya

Itazame hii picha ni vijana wawili Phil Foden wa Manchester City na Reece James wa Chelsea, kipindi hicho wapo madaraja ya timu za vijana U12

Phil Foden na Reece James
Phil Foden na Reece James

Kipindi hicho Reece ni Mido na Foden nae ni Mido, hii picha ilikuwa mtanange wa Chelsea vs City kwa vijana

Reece anadai Foden alimpa shida sana kumkaba, anasema utofauti wa Foden wa zamani na sasa ni kuwa wa sasa amekomaa zaidi na ana maamuzi zaidi

Leo hii Vijana hao wawili kutoka timu za vijana wanakutana kwenye fainali ya LIGI YA MABINGWA ULAYA


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa