Romelu Lukaku ameomba msamaha kwa Inter Milan kufuatia maoni aliyoyatoa katika mahojiano ambapo alidai wachezaji 23 kati ya 25 wa klabu hiyo walionyesha dalili za virusi vya Corona mwezi Januari.

Hakuna mtu yeyote kwenye Kikosi cha Inter amethibitisha kuwa alikuwa na virusi hivyo, lakini katika mahojiano ya moja kwa moja ya Instagram na kituo cha Televisheni cha VIER, Lukaku alidai wachezaji walirudi kutoka mapumziko ya mwezi Disemba na kile kilichoonekana kuwa dalili za virusi vya Corona.

, Romelu Lukaku Aomba Radhi kwa Kutoa Taarifa Zisizo Sahihi, Meridianbet

Lukaku ameomba msamaha kwa maoni hayo na amechukuliwa hatua za kinidhamu na klabu hiyo ya Serie A, ambao wamesema walishangazwa na maoni yake. Maoni hayo alizua taharuki kwa mashabiki na wapenzi wa soka la Italia kwa kiasi cha kukwazika na kauli hiyo.

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa